Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Mkuu upatakinaji wake kwa hapa nchini ni mikoani au mkoa gani hasa?
Maana nipo katika maandalizi ya kuanza hii project ya ufugaji wa hao wanyama.
Kwa kiwango kikubwa wanaagizwa Zambia.Kwa hiyo kama upo along barabara Dar to Tunduma ni rahisi zaidi. Lakini tuna watu Dodoma,Ifakara,Moshi pia ambao wamenufaika na mbegu hizi. Labda niseme hizi mbegu na kwa watu serious wanaotaka kufuga kibiashara.
 
Kwa kiwango kikubwa wanaagizwa Zambia.Kwa hiyo kama upo along barabara Dar to Tunduma ni rahisi zaidi. Lakini tuna watu Dodoma,Ifakara,Moshi pia ambao wamenufaika na mbegu hizi. Labda niseme hizi mbegu na kwa watu serious wanaotaka kufuga kibiashara.

Nataka kuanzisha huu mradi, Wilaya ya Kiteto, je naweza kupata hizo mbegu kwa watu ambao wako Dododma?
 
Wazo zuri.Wapo watu walio committed utapata tu. Mkishapata shamba na kuweka miundo mbinu,waweza nirudia tena .Who knows,naweza kukusaidia a few piglets to start with. Vijana wenye mawazo kama yako mnahitaji kupewa moyo zaidi
Pamoja sana mkuu
 
Wafugaji wachache wenye nia ya kuboresha ufugaji wa nguruwe waliungana pamoja na kuunda chama cha wafugaji nguruwe Tanzania(Tanzania Association OF Pig Farmers -TAPIFA). Kwa kupitia TAPIFA watanzania wengi wataweza kupata aina mpya ya mbegu ya nguruwe iitwayo Camborough.

Hilo jina la mbegu mpya linatamkika vibaya!!! eniwei nitaitafuta niijaribu.
 
Yeah,
Linatamkika Ka-Mboro
 
Inategemea utazamo wako na unataka kupeleka ujumbe gani. Ila linatamkika "Kambora".
 
Moshi sehemu gani naweza pata hiyo mbegu nikachukue kabla ya mwka kuisha maana na dhamira kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…