MalafyaleP
Senior Member
- May 23, 2013
- 187
- 387
Kwa kiwango kikubwa wanaagizwa Zambia.Kwa hiyo kama upo along barabara Dar to Tunduma ni rahisi zaidi. Lakini tuna watu Dodoma,Ifakara,Moshi pia ambao wamenufaika na mbegu hizi. Labda niseme hizi mbegu na kwa watu serious wanaotaka kufuga kibiashara.Mkuu upatakinaji wake kwa hapa nchini ni mikoani au mkoa gani hasa?
Maana nipo katika maandalizi ya kuanza hii project ya ufugaji wa hao wanyama.