Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Juzi kati huku kwetu kuna mtu alikamatwa ndani ya banda la nguruwe anayenyonyesha akiwa uchi wa mnyama usiku akifanya vitu vyake
 
Ukifuga mdudu haina haja ya kuwa na dustbin wala kuchimba jalala we rusha bandani tu! Mdudu anakula kila kitu kuanzia maganda ya mihogo viazi maganda ya matunda yote pumba aina zote mabaki ya aina zote we rusha bandani tu!
 
Juzi kati huku kwetu kuna mtu alikamatwa ndani ya banda la nguruwe anayenyonyesha akiwa uchi wa mnyama usiku akifanya vitu vyake
labda alifata maziwa ya nguruwe ili akayauze maana yanasaidia kuacha pombe wewe hata kama ni chapombe wa kufa mtu ukipiga maziwa ya nguruwe ukiona pombe unatapika
 
inadaiwa hata ngundi ya stamp kwa barua
 
Hata zile dawa za kuongeza nanilihuu kwa waliopungukiwa kende na matiti yake hutumika kutengeneza dawa hizo!!!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hii nimeipenda kuzuia ...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…