Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
kisha nipe uhakika niliambiwa na mzungu mmoja nikachoka kuwa manyoya yake ndivyo yanavyotumika!ngoja ni google
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kisha nipe uhakika niliambiwa na mzungu mmoja nikachoka kuwa manyoya yake ndivyo yanavyotumika!ngoja ni google
Umejibu vemaWanaongeza uchumi na mbolea yao inakuza mboga na matunda
Faida za kufuga nguruwe:
• unapata nyama
• mafuta yake utumika kupikia
• kinyesi chake ni mbolea nzuri kwa bustani na mimea
• product za ngurue kama mifupa inazuia wachawi ukiiweka ndani
• nguruwe ni mlinzi
[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
naomba niongezee na hii... nguruwe ni dawa pekee inakimbiza majini yote sugu. penye nguruwe mashetani/majini hayakai. hii ni "ilimu" tosha isiyohitaji kufundishwa darasani.
kwa hiyo wachawi hawali nguruwe, nimeanza kuelewa
Pia kuwafahsmu wa-elleni(Wasabato)Anasaidia kumfahamu muislam halisi na fake/mroho
Inawezekanamanyoya yake yanatengeneza miswaki
Fedha kwa mfugaji. Fedha kwa watu wa kati. Fedha kwa wenye bucha. Nchi nyingine, mafuta yake yana kazi nyingi tu.kama kichwa cha habari kisemavyo.
kila mnyama ambaye anafugwa na binaadamu anafugwa kwa faida zake, na matumizi yake hayajifichi.
mf.
1.paka ni kukamata panya
2. kuku,kanga na bata kula nyama na mayai pia
3.mbuzi, ngombe,na kondoo, ni nyama,maziwa na mafuta
4.mbwa kutusaidia ulinzi na uwindaji
5.punda kubeba mizigo na kuna baadhi ya makabila ni nyama pia
6.sunguru, na pimbi na njiwa ni kitoweo pia.
7. farasi nae matumizi yake yanajulikana na kuna baadhi ya watu ni nyama pia
8.ngamia ni usafiri anajulikana toka zamani sana
9.sasa kuna huyu pig/mbuzi katorik/ kitimoto/noah/nguruwe/mdudu na majina mengine mengi je aliumbwa na Mwenyezi Mungu kwa ajili gani na anafaida gani kuwa mnyama wa kufugwa? maana wanyama wote wafugwao tumeona faida zao
my take.
tunaoamini tuliingizwa chaka tuendelee kumtafuna maana hana faida nyingine zaidi ya hiyo
matuta ndo manini mkuuFedha kwa mfugaji. Fedha kwa watu wa kati. Fedha kwa wenye bucha. Nchi nyingine, matuta yake yana kazi nyingi tu.
ntakualika siku moja bibieMtamu, nimemmiss
ahsante mkuu hapo nimekusomangoja nimsaidie kujibu. sorry Mshana Jr kuchukua nafasi yako... Mchawi anakula nguruwe kama kawaida ila anaruhusiwa kula akiwa hajavaa uhusika wa kichawi (awe mtu wa kawaida tu bila zana zozote za kazi yake haramu) ila akivaa uhusika wa kichawi na kama atahitaji baaadhi ya nguvu za kichawi kumtoa sehemu moja kwenda nyingine kama atahitaji majini yamsaidie na sehemu alipo kuna mifupa ya kitimoto basi uchawi wake utadunda!.ni sawa na aje kuroga kwako alafu ndani umeweka mfupa wa nguruwe so kama kuna nguvu atahitaji kutoka kwa wakuu (majini) ombi lake litafeli! Nguvu za kichawi mara nyingi zinahusishwa na majini. so wachawi na majini wanashirikiana.
heee kweli mkuuNguvu za kiume.
hahahaSura yake inavutia kuiangalia
Polisi wanamtumia nguruwe kama mbwa piakama kichwa cha habari kisemavyo.
kila mnyama ambaye anafugwa na binaadamu anafugwa kwa faida zake, na matumizi yake hayajifichi.
mf.
1.paka ni kukamata panya
2. kuku,kanga na bata kula nyama na mayai pia
3.mbuzi, ngombe,na kondoo, ni nyama,maziwa na mafuta
4.mbwa kutusaidia ulinzi na uwindaji
5.punda kubeba mizigo na kuna baadhi ya makabila ni nyama pia
6.sunguru, na pimbi na njiwa ni kitoweo pia.
7. farasi nae matumizi yake yanajulikana na kuna baadhi ya watu ni nyama pia
8.ngamia ni usafiri anajulikana toka zamani sana
9.sasa kuna huyu pig/mbuzi katorik/ kitimoto/noah/nguruwe/mdudu na majina mengine mengi je aliumbwa na Mwenyezi Mungu kwa ajili gani na anafaida gani kuwa mnyama wa kufugwa? maana wanyama wote wafugwao tumeona faida zao
my take.
tunaoamini tuliingizwa chaka tuendelee kumtafuna maana hana faida nyingine zaidi ya hiyo
Hahaha ni typo tu. Ni mafuta Mkuu.matuta ndo manini mkuu
Ukitoa mada kama hizi ni bora ukawa na uelewa wa sayansi ya wanyama hizi siyo propaganda za vyama mkuu. Baadala ya kutoa hitimisho ungeomba wstu wajadili labda ingekua bora zaidi.kama kichwa cha habari kisemavyo.