Kichaa Msafi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,087
- 2,134
hahahahaWale ma sister do wanakwambia ' I'm not a strict Muslim any way'.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaWale ma sister do wanakwambia ' I'm not a strict Muslim any way'.
heee kumbeSky Eclat umenena, nilishawah kula kitimoto na mtoto wa kiislam, maeneo ya sabasaba tanga huko, pale ndo inapikwa kwa wingi sana, akiamini hata akijizuia baadae atakula tu mana aliamini nitamuoa atabadilisha dini. Hahaaaa haya maisha hayaaa, tusamehewe tu.
sasa wale wa kwa mudy wakiambiwe wapandikiziwe figo ya pig hospitali si patachimbikaPIA Kuna Utafiti unaendelea Wa Kutumia Viungo vya Ngurume Kumpandikizia Binadamu.Kama Figo Na INI lake
kwa hiyo wachawi hawali nguruwe, nimeanza kuelewa
[emoji15] [emoji15] [emoji3]ngoja nikaagize kitimoto nusu (roast) na ugali halafu nitakuja kukomenti ......
kumbe sio dhambi kama watu walivyoaminishwanadhani ile iliyokuwa pale dagaa dagaa(sinza lego) kwa sasa pamevunjwa ilikuwa tamu sana... ukitaka choma, kavu roast wewe tu...dah enzi za chuo kila weekend ilikuwa lazima nikapate kitu pale, now bado yapo baadhi ya majiko ila hapajachangamka kama zaman, siku hizi nakulaga huku mtaani tu muda unabana
hahahhaahHahaaa Sky Eclat nani amuoe yule? nilimtorokaga usiku amelala, asaiv yupo huko huko nahc anakula mpaka ngamia.
ahsante kwa kuchangiaSijaona point ilipo ila kukusaidia hapo namba 6
Ilibidi isomeke hivi
=sungura, nguruwe, pimbi na njiwa ni kitoweo pia
sasa mbona fisi hawafugwi kama nguruwe, na ujue wanyama wa majumbani wote wafugwao na porini yupo wa kufanananae sasa fisi anafanana na mnyama gani afugwae. idiotHakuumbwa kwa ajili ya nyama Bali usafi wa mazingira
Nguluwe na fisi ni sawa
hasara yake iweke mkuuHana faida zaidi ya HASARA,
hiyo gifts kabisaMkuu, tuwekee picha angalau basi. Tupicha tuwili tutatu tungefaa mno kushibisha uzi
heee ngoja ntahakikishawana mbo.o inazunguka kama screwdriver,mimi hili sijawahi shuhudia kwa kiumbemwingine yoyote,ilikuwa ni utalii mkubwa sana kwangu
inamaana hakuna mchawi anafuga nguruweFaida nyingine nyumba inayofuga nguruwe wachawi na majini mwiko. ..wanapitaga mbali napo. ..hivyo nguruwe ni mlinzi mzuri sana dhidi ya wavamizi wa kiroho
kahakiki mkuuheee ngoja ntahakikisha
Huyu mnyama anafukuza MAPEPO na MAJINI, mlaji wa kitimoto jini pepo linamuogopa vibaya mno ata mchawi anakuwa detected vibaya mno...!kama kichwa cha habari kisemavyo.
kila mnyama ambaye anafugwa na binaadamu anafugwa kwa faida zake, na matumizi yake hayajifichi.
mf.
1.paka ni kukamata panya
2. kuku,kanga na bata kula nyama na mayai pia
3.mbuzi, ngombe,na kondoo, ni nyama,maziwa na mafuta
4.mbwa kutusaidia ulinzi na uwindaji
5.punda kubeba mizigo na kuna baadhi ya makabila ni nyama pia
6.sunguru, na pimbi na njiwa ni kitoweo pia.
7. farasi nae matumizi yake yanajulikana na kuna baadhi ya watu ni nyama pia
8.ngamia ni usafiri anajulikana toka zamani sana
9.sasa kuna huyu pig/mbuzi katorik/ kitimoto/noah/nguruwe/mdudu na majina mengine mengi je aliumbwa na Mwenyezi Mungu kwa ajili gani na anafaida gani kuwa mnyama wa kufugwa? maana wanyama wote wafugwao tumeona faida zao
my take.
tunaoamini tuliingizwa chaka tuendelee kumtafuna maana hana faida nyingine zaidi ya hiyo
Athubutu aone, atamtafuna..!inamaana hakuna mchawi anafuga nguruwe
Kumbe hata wanaosema nguruwe ni haramu wanamtumia kupitia insulin injection wanapougua kisukari !!!mmh kwani zile dawa za kisukari insuline si na sikia zinatokana na nguruwe?
People also ask
Which insulin is made from pigs?
As the name suggests animal insulin is taken from the pancreases of animals, usually pigs (porcine or pork insulin) and cows (bovine or beef insulin). The insulin is purified which reduces the chance of the insulin user developing a reaction to the insulin.
How is animal insulin produced?
As the name suggests animal insulin is taken from the pancreases of animals, usually pigs (porcine or pork insulin) and cows (bovine or beef insulin).
The insulin is purified which reduces the chance of the insulin user developing a reaction to the insulin.
utauwa watu wataacha kuchoma sindano😀😀😀😀😀😀😀😀Kumbe hata wanaosema nguruwe ni haramu wanamtumia kupitia insulin injection wanapougua kisukari !!!