Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji


naomba niongezee na hii... nguruwe ni dawa pekee inakimbiza majini yote sugu. penye nguruwe mashetani/majini hayakai. hii ni "ilimu" tosha isiyohitaji kufundishwa darasani.
 
naomba niongezee na hii... nguruwe ni dawa pekee inakimbiza majini yote sugu. penye nguruwe mashetani/majini hayakai. hii ni "ilimu" tosha isiyohitaji kufundishwa darasani.

[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji1312][emoji1312][emoji28][emoji28]
 
kwa hiyo wachawi hawali nguruwe, nimeanza kuelewa

ngoja nimsaidie kujibu. sorry Mshana Jr kuchukua nafasi yako... Mchawi anakula nguruwe kama kawaida ila anaruhusiwa kula akiwa hajavaa uhusika wa kichawi (awe mtu wa kawaida tu bila zana zozote za kazi yake haramu) ila akivaa uhusika wa kichawi na kama atahitaji baaadhi ya nguvu za kichawi kumtoa sehemu moja kwenda nyingine kama atahitaji majini yamsaidie na sehemu alipo kuna mifupa ya kitimoto basi uchawi wake utadunda!.ni sawa na aje kuroga kwako alafu ndani umeweka mfupa wa nguruwe so kama kuna nguvu atahitaji kutoka kwa wakuu (majini) ombi lake litafeli! Nguvu za kichawi mara nyingi zinahusishwa na majini. so wachawi na majini wanashirikiana.
 
Fedha kwa mfugaji. Fedha kwa watu wa kati. Fedha kwa wenye bucha. Nchi nyingine, mafuta yake yana kazi nyingi tu.
 
Hapo kwenye sungura umetaja faida moja ya kitoweo basi na nguruwe vivyo hivyo
 
ahsante mkuu hapo nimekusoma
 
Polisi wanamtumia nguruwe kama mbwa pia
 
Ukitoa mada kama hizi ni bora ukawa na uelewa wa sayansi ya wanyama hizi siyo propaganda za vyama mkuu. Baadala ya kutoa hitimisho ungeomba wstu wajadili labda ingekua bora zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…