Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Wakuu mwenye group la whatsaap la ufugaji wa nguruwe a niweke 0742197840
 
Miezi 3 ni kidogo mno?.inachukua miezi 6-8 kumlea nguruwe hadi awe tayari kuuzwa kwa nyama au kuweza kupata mimba.Hata kama unataka kuuza watoto unahitaji week 5 hadi 8.mie nimekuwa na study hii biashara for sometimes now na nimeanza kufuga 4 months ago.the best way ni kuanza na nguruwe kama 10 hivi wenye mimba ambao watazaa within a month..pia ni vema kufuga shamba ambako pia unalima mahindi au mtama alizeti au ufuta.gharama kubwa ya kufuga ni chakula.At the moment mchanganyiko wa chakula cha nguruwe una cost about 1200/kg lakini ukilima mwenyewe inakuwa about 450/kg:.nguruwe mmoja anakula 2-3 kg kwa siku.
Soko kubwa lipo Dar es salaam.hauhitaji kupeleka huko,wanunuzi wanakuja shamba.waweza kuuza baada ya kuchinja(inalipa zaidi) au live weight ambayo pia nzuri na convinient
Una mda kumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba mimi niongelee changamoto unazoweza kukutana nazo ili ujipange mapema jinsi ya kuzitatua...
1. Mbegu nzuri ni adimu na gharama.
Mbegu zilizo nyingi zimedumaa,hivyo zinapelekea kutumia gharama kubwa za madawwa na chakula ili nguruwe kufikia uzito stahili.
2. Maeneo mengi gharama za chakula ni kubwa na bei ya soko la nyama ni ndogo.
3. Magonjwa ya mlipuko yanaweza kumaliza banda zima.
4. Storage ya maji taka na mbolea.
5. Wataalamu/madaktari specifically wa magonjwa ya nguruwe ni wachache, wengi ni kanjanja.
6. Kwenye gharama zilizoainishwa kwenye thread ongeza ujenzi wa banda, malipo ya kibarua, usafiri wa chakula na madawa.
 
Jaman naombeni ushauri wa ufugaji wa nguruwe.mambo gani ya kufanya ili nipate mazao ya mazuri ya nguruwe .pamoja na vyakula gani ni bora kwa nguruwe .dawa gani ni bora

Natanguliza shukran kwenu wanq JF

Fuga kuku au mbuzi lakini sio kiti moto.
 
Kwema viongozi.. nahitaj MSAADA wa mawazo yenu coz nahitaji kuanza kufanya ufugaji wa nguruwe.

Ila sina idea yeyote kuhusu nguruwe so naomba kujua wanatunzwaje na ukuaji wao Toka ni vibwagala ad kufkia hatua ya kuwapeleka sokoni na ni magonjwa gani huwapata sana
 
Back
Top Bottom