Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Wakuu mwenye group la whatsaap la ufugaji wa nguruwe a niweke 0742197840
 
Una mda kumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba mimi niongelee changamoto unazoweza kukutana nazo ili ujipange mapema jinsi ya kuzitatua...
1. Mbegu nzuri ni adimu na gharama.
Mbegu zilizo nyingi zimedumaa,hivyo zinapelekea kutumia gharama kubwa za madawwa na chakula ili nguruwe kufikia uzito stahili.
2. Maeneo mengi gharama za chakula ni kubwa na bei ya soko la nyama ni ndogo.
3. Magonjwa ya mlipuko yanaweza kumaliza banda zima.
4. Storage ya maji taka na mbolea.
5. Wataalamu/madaktari specifically wa magonjwa ya nguruwe ni wachache, wengi ni kanjanja.
6. Kwenye gharama zilizoainishwa kwenye thread ongeza ujenzi wa banda, malipo ya kibarua, usafiri wa chakula na madawa.
 
Jaman naombeni ushauri wa ufugaji wa nguruwe.mambo gani ya kufanya ili nipate mazao ya mazuri ya nguruwe .pamoja na vyakula gani ni bora kwa nguruwe .dawa gani ni bora

Natanguliza shukran kwenu wanq JF

Fuga kuku au mbuzi lakini sio kiti moto.
 
Kwema viongozi.. nahitaj MSAADA wa mawazo yenu coz nahitaji kuanza kufanya ufugaji wa nguruwe.

Ila sina idea yeyote kuhusu nguruwe so naomba kujua wanatunzwaje na ukuaji wao Toka ni vibwagala ad kufkia hatua ya kuwapeleka sokoni na ni magonjwa gani huwapata sana
 
Maeneo unayoishi kuna wafugaji Unaweza kuwafikia kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…