Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Hongera kwa kuchukua hatua
1. Si vema kuweka taka za wanyama hapo katikati sababu ammonia na harufu kutoka hapo itasambaa kwenye mabanda yote.Weka hizo taka pembeni ya mabanda huku ukizingatia uelekeo wa upepo.
Pia waweza hamishia corridor ndani na kuongeza U-shaped banda lingine kwa ndani na hivyo kuongeza namba ya vyumba
2.Hayo mabomba ya nn?Ips pipes ni nzuri na cheap.Pia nakushauri kuweka autodrinkers kila chumba ili nguruwe waweze kunywa maji kwa kiwango wanachotaka bila kuchafua na kumwaga
3. Kila chumba katika banda lako waweza weka nguruwe 4 wakubwa au wa 2 wenye watoto au 10 wadogo hadi miezi 3. Unataka kufuga wa umri gani?kama lengo lako ni kununua wadogo na kuwakuza then ok.Lakini kama unataka kuzalisha pia unahitaji ku design zaidi ili uwe na mabanda ya wakubwa,wenye watoto na grower-finisher.Kuna design very economical ya banda la grower-finisher isiyo na concrete ila mapumba/malanda.5mx5m yaweza kukaa nguruwe 15-20.Tembelea wafugaji kupata uzoefu
4.kuhusu piglets ni muhimu sana ukajua nn kinahitajika kwa jike na dume.Jike anatakiwa awe mwenye uwezo wa kuzaa wengi(at least 10) na kulea vizuri.Dume atoke mbegu inayokuwa haraka na nyama nzuri isiyo na mafuta mengi.Kutegemea na idadi mm naweza kukuuzia piglets though sipo dar.Nipo a 2 hrs drive kuelekea morogoro
5.Muhimu pia kupanga utawalisha nn!
 
mwageni nondo,wengine hapa tutaingia huko badae kidogo kwenye huu ufugaji
 
Hongera sana mkuu, hii ni viable project kama utakuwa very serious kuisimamia. hayo maji ni ya kisima au dawasco au mto, mana pigs wanahitaji maji sana ya kunywa mpaka usafi banda na wenyewe kuwaosha sometimes(cooling)
 
Hongera kwa kuchukua hatua
1. Si vema kuweka taka za wanyama hapo katikati sababu ammonia na harufu kutoka hapo itasambaa kwenye mabanda yote.Weka hizo taka pembeni ya mabanda huku ukizingatia uelekeo wa upepo.
Pia waweza hamishia corridor ndani na kuongeza U-shaped banda lingine kwa ndani na hivyo kuongeza namba ya vyumba
2.Hayo mabomba ya nn?Ips pipes ni nzuri na cheap.Pia nakushauri kuweka autodrinkers kila chumba ili nguruwe waweze kunywa maji kwa kiwango wanachotaka bila kuchafua na kumwaga
3. Kila chumba katika banda lako waweza weka nguruwe 4 wakubwa au wa 2 wenye watoto au 10 wadogo hadi miezi 3. Unataka kufuga wa umri gani?kama lengo lako ni kununua wadogo na kuwakuza then ok.Lakini kama unataka kuzalisha pia unahitaji ku design zaidi ili uwe na mabanda ya wakubwa,wenye watoto na grower-finisher.Kuna design very economical ya banda la grower-finisher isiyo na concrete ila mapumba/malanda.5mx5m yaweza kukaa nguruwe 15-20.Tembelea wafugaji kupata uzoefu
4.kuhusu piglets ni muhimu sana ukajua nn kinahitajika kwa jike na dume.Jike anatakiwa awe mwenye uwezo wa kuzaa wengi(at least 10) na kulea vizuri.Dume atoke mbegu inayokuwa haraka na nyama nzuri isiyo na mafuta mengi.Kutegemea na idadi mm naweza kukuuzia piglets though sipo dar.Nipo a 2 hrs drive kuelekea morogoro
5.Muhimu pia kupanga utawalisha nn!

Mkuu malafyaleP,kama hutojali naomba nije hapo M nistudy baadhi ya mambo coz nipo kwenye maandalizi ya kufuga hii kitu..mm nipo moro,.no..yangu 0764396335...natanguliza shukrani..
 
Mkuu karibu sana kwenye ufugaji wa faida kubwa. Badilisha hiyo korido ikae ndani. nje jitahidi kuziba sana kwa sababu tu ya wale wenye roho mbaya wanaoweza kuwadhuru wanyama wako.
Hakikisha hiyo mbolea inakuwa mbali na banda lako. Hakuna mnyama msafi ka nguruwe. Hawezi kulala alipojisaidia. Ukimwona hivyo ni mateso tu.
Mabanda ya ukubwa huo yana uwezo kuwivisha nguruwe 6 kila banda na hawana shida kabisa.
Usikubali kama lishe ni bora na nzuri ya kutosha yaani si chini ya kg 2 kwa mnyama, nguruwe asikae zaidi ya siku 180 tangu winning (kuachishwa maziwa) yaani siku ya 28 ya kuzaliwa. Uza kwa bei ya soko.
 
Dah! Hii imenifikirisha sana mkuu Amoeba , Shikamoo!
 
Last edited by a moderator:
aiseeee kweli jf ni kisima cha kujifunza mengi sikujua huu uzi leo umenitoa sehemu moja na kwenda sehemu ingine thanks amoeba kwa wazo zuri hili la kuondokana na umaskini mweeeee sikjujua mie
 
Mpwa hii bonge ya deal hata mate yananitoka ila tatizo mimi imani yangu inaniambia nguruwe ni haramu kabisa. lakini hiyo hela naitaka tena sana tu.

Pole sana. Funga macho na moyo, acha brain ifanye kazi yake. Mpe mtu fund afuge then uwe unafuatilia maendeleo ya project na kuchukua hela wakiuzwa
 
Habari mdau Malafyale, naomba unisaidie ufafanuzi wa kuhusu chumba cha nguruwe aliejifungua "Farrowing Sow" kuna umuhimu wa kuwawekea vibanda vidogo " "crates/pens"? Na je kama siwezi kumudu vya chuma nifanyeje. Ukinisaidia na details/picha za crates za gharama nafuu itakua poa sana. Natanguliza shukrani.
 
Mkuu Amoeba tunaomba uje utupe ilimu zaidi ya mradi huu
 
Last edited by a moderator:
nguruwe kukua ndani ya miezi mitatu na kuuza inachangiwa na chakula, si pumba na pig mix kama watu walivyokariri, kuna mashudu na makapi ya breweries, huwafanya wakue haraka sana na kua na uzito wa 30-40kg ndani ya miezi mitatu tangu kuzaliwa. kwa ziada tafuta ushauri wa wataalamu wa mifugo.
 
Back
Top Bottom