Wapi huko bossPiglets mbona hku kwetu ni 15,000 mpaka 20,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi huko bossPiglets mbona hku kwetu ni 15,000 mpaka 20,000
Na mimi nawezwa Kuwa added kwa group Hilo0717269137 tukuadd kundi la wafugaji wa nguruwe whatsapp
Vipi bei ya nguruwe mkubwa wa kilo 80 dar saivi anaenda bei gani kwa mwenye taarifa
kuu weka bei kulingana na umri plzhao kwenye picha wana mwaka na miez3
pia wadogo ni wengi. wana miezi 2~3
Ujue mahesabu ya Jf yamepishana na uhalisiaKimyaaa sana hukuuu
Ujue mahesabu ya Jf yamepishana na uhalisiaKimyaaa sana hukuuu
Nashukuru kwa soma zuri. Naomba msaada wa hizo notes mkuu. Asante visentmkenda1@gmail.comBrother nimekutumia email
Nguruwe anaweza fikisha uzito wa kilo 1000 . namaanisha tani mojoAcha uongo.. Hakuna nguruwe anaweza toa hizo kilo, huo ni uongo mtakatifu