Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Du yaani kati ya watu waliowaza mbali kabla ya kufuga ni wewe.Ni kweli kabisa changamoto kubwa ya ufugaji nguruwe ni kwenye chakula,kinauzwa bei mbaya na hasa pumba za mahindi ambazo kwetu sisi ndiyo lishe kuu kwa nguruwe.
Kwa Maana hiyo ukiweza kupata hizo Mashine,utafuga kirahisi sana,na mafanikio utayaona haraka sana.

Ukiwa interested kuna kundi la whatsup la wafuga nguruwe na Mimi nimo humo,unaweza jiunga ili kupata morali ya kuendelea na ndoto yako
0752815213 naomba uni add kwenye group la nguruwe
 
We're of the spirit.
Uncleanliness comes from within you.
Even eating a monkey doesn't make someone unworthy /unclean.
uchafu unaokuchafua upo ndani yako, ktk mawazo na maneno yatokayo kinywani mwako.
 
We are of the spirit, yes we are.
But we are flesh and spirit. That is why you have to take care of both. It has bee described howyou can do that.

BTW, where is your spirit housed? Do not you need to keep your house clean?

Kwa usemayo hapo juu inaonekana unaweza kumwoa dada yako wewe. Kama huwezi ni kwa sababu gani?
Uache uteja!
 
nmependa sana hili somo.ngoja nikusanye nguvu nami nijaribu
 
Habari za humu ndani?? Naomba msaada nahitaji watoto wa nguruwe Mwanza idadi 30 naomba namba sehemu nayoweza kuwanunua wazazi wangu walifuga nguruwe kwa muda mrefu sasa nataka niwanunulie waanze tena maana waliuza zote miaka mingi imepita.. Nataka niwape kitu cha kifanya maana wamestaafu.. Naomba msaada wa pakuzipata Mwanza na bei zake, natanguliza shukrani.

Good news, add Mimi kwa hilo group please 0755750104
 
Du yaani kati ya watu waliowaza mbali kabla ya kufuga ni wewe.Ni kweli kabisa changamoto kubwa ya ufugaji nguruwe ni kwenye chakula,kinauzwa bei mbaya na hasa pumba za mahindi ambazo kwetu sisi ndiyo lishe kuu kwa nguruwe.
Kwa Maana hiyo ukiweza kupata hizo Mashine,utafuga kirahisi sana,na mafanikio utayaona haraka sana.

Ukiwa interested kuna kundi la whatsup la wafuga nguruwe na Mimi nimo humo,unaweza jiunga ili kupata morali ya kuendelea na ndoto yako
Add hii namba 0755750104
 
We are of the spirit, yes we are.
But we are flesh and spirit. That is why you have to take care of both. It has bee described howyou can do that.

BTW, where is your spirit housed? Do not you need to keep your house clean?

Kwa usemayo hapo juu inaonekana unaweza kumwoa dada yako wewe. Kama huwezi ni kwa sababu gani?
Uache uteja!
Je, wayajua matunda ya roho?
 
Na Mimi pia naomba mniadi kwenye group hilo la what's up la wafuga kitimota.
 
Kufuga,kuuza,kula nguruwe ni bora kuuza na kunywa pombe,nguruwe amekataliwa hadi na shetani.
 
Admin wa hili group atakuwa yupo likizo coz leo ni WK ya pili Namba yangu bado haijaunganishwa kundini
 
Please add me too 0689341445
kama upo mwanza unatafuta nguruwe tuwasiliane mkuu.

Back
Top Bottom