federicofernandez
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 578
- 392
Karibuni wafugaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ustadhi nini kimekuleta huku hapakuhusu.. haramu kwakoAchana na biashara haramu hiyo
AsanteUkifanya utafiti mdogo tuu hapahapa jamiiforums utakutana na threads za kutosha kukupa elimu unayohitaji.
Lita 10 ni hasara. Ng'ombe anatakiwa kutoa lita 35 kwa siku.Ng'ombe zinalipa mkuu, kama una mtaji. Usilinganishe biashara ya ng'ombe na nguruwe, kuku au ufugaji wa Samaki
Ng'ombe wanalipa katika maziwa sana na bado ukichinja pia wanalipa sana
Mfano ; una ng'ombe wako wa kisasa anatoa litre 10@siku
Litre 10* siku 300= litre 3,000 kwa mwaka
1 litre= Tshs1,500
3,000 litre = Tshs 4,500,000
Kwa mwaka unapata iyo apo
Aya toa nusu yake kwenye Madawa na muhudumu
Tshs 4,500,000*1/2= Tshs 2,250,000
Ufugaji unalipa jamani
Hizo huwa ni hadithi tu, hata pure friesian breed mwenyewe hatoi hizo kwa siku, hiyo pure breed ya friesian utaitoa wapi katika ukanda huu wa kitropical?Lita 10 ni hasara. Ng'ombe anatakiwa kutoa lita 35 kwa siku.
Unatakiwa kutafuta mbegu bora
Kuna jike lenye mimba linauzwa kwa yeyote anayehitaji anipm.Habari wakuu! Ninaimani mpo Salama kwa neema ya Mungu wetu.
Wakuu mi natamani kuanza kufuga ngurue jijini mwanza japo sina network, ningetamani kama kuna mtu yeyote anafunga mnyama huyu huku Mwanza anisaidie japo kwa mawazo tu.
Natanguliza shukrani nikiamini mtanisaidia.
Hahhhahahaa.. minna eneo naanza mda sio mrefu.. kwan vitoto shngap?fuga tu nguruwe wanalipa vibaya mno profit magin yake ni kubwa nguruwe mmoja anaanzia bei laki 5 mpaka laki 7 wakiwa mia una 70milioni utakua tajir japo ni haramu na mara nyingi vitu haramu vinalipa