Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

kumbe sio dhambi kama watu walivyoaminishwa
Huwa nasikia kuna dingi mmoja alialikwa kwenye hafla bahati mbaya akachelewa kufika. Kutokana na utamu wa kitimoto jamaa waliowahi waliichangamkia ikaisha. Dingi alipofika hakupata kitoweo hicho akafuatilia akaambiwa kilikuwepo lkn kimeisha. Bosi alikasirika sana hivyo kuwakomesha wale jamaa akapiga marufuku ulaji wa chair-fire hicho na hao waliomuwahi wapate laana huko ahera. Sijajua km swala hili linaukweli au la.
 
huu ndo ukweli wenyewe.
 
Mt
Natafuta nguruwe wadogo 200 mwenye nao anitafute..+255743185408
afute huyu mtu MalafyaleP ni mfugaji mzuri sana wa nguruwe,nahisi anaweza kuwa msaada kwako,nami ni project ambayo nataka kuifanya miezi michache inayokuja panapo majaliwa ya Mwenyezi mungu,na lazima nimtafute huyu mtu anipe mwongozo mzurii!Mungu abatiki kazi ya mikono yako MalafyaleP
 
Wafugaji wengi wamekuwa wakinywesha maji nguruwe wao kwa kuweka kwenye masebeni au sehemu zilizojengewa chini, unyweshaji maji nguruwe wa aina hii imekuwa ni moja ya sababu ya nguruwe kupata magonjwa kutokana na uchafu kuingia katika maji wakati mwingine nguruwe halalia na kukanyaga maji hayo au kujisaidia hupelekea kupata minyoo na hivyo inaathiri ukuaji wa nguruwe hatimae kudumaa endapo hawatatibiwa kwa wakati.

Mbali na magonjwa, vijana wengi ni wavivu kufanya kazi hivyo unaweza kukuta nguruwe amewekewa maji mara moja tu toka asubuhi. Vyombo vimeisha maji lakini hakuna anayejishughulisha kuwawekea maji nguruwe, nguruwe akikosa maji ukuaji wake huwa wa mashaka. Nguruwe anahitaji maji sana, si tu maji bali maji safi na salama.

Katika ukuaji wa teknolojia, kuna kifaa kinaitwa pig nipple drinker. Kifaa hiki ni maalumu kwaajili ya kunywea maji nguruwe wako, uwepo wa maji bandani mwako utakuwa wa uhakika kwasaa 24 na maji yanakuwa masafi muda wote.

JINSI YA KUFUNGA DRINKERS
- Unakuwa na tank lako la maji ambalo una connect bomba toka kwenye tank kuja kwenye banda la nguruwe
- Bomba ikifika kwenye la nguruwe mbele ya bomba ndipo unafunga hicho kifaa (drinker) ili nguruwe aweze kunywa maji
- Kifaa hicho kipo kama chuchu hivyo nguruwe akihitaji maji anaenda kunyonya na maji yanatoka. Na huo ndio ufugaji wa kisasa katika nchi zilizoendelea

Angalia video hapo chini nimeattach video uone nguruwe anavyokuja masafi kwa starehe, ukiwa na swali lolote kuhusu drinkers za nguruwe tupigie kwa namba 0625 504 952
Drinkers.PNG
 
Attachments

astaghafirllah wewe unaleta ukafir humu tutakutangazia expire date yako...naanza nimesema mwisho wa kupost haram zako ni mwaka huu....nitakushtakia kwa muumbaji wa vidole na mdomo wako ili aone unavyodhulumu watu
Mkuu karibu biashara punguzo lipo
 
astaghafirllah wewe unaleta ukafir humu tutakutangazia expire date yako...naanza nimesema mwisho wa kupost haram zako ni mwaka huu....nitakushtakia kwa muumbaji wa vidole na mdomo wako ili aone unavyodhulumu watu
Mkuu, hiyo ni biashara. Unadhani ulichoandika ni sahihi?
 
KITABU CHA UFUGAJI NGURUWE WENYE TIJA

Hatimaye tumeweza kukamilisha kitabu kizuri sana cha ufugaji nguruwe wenye tija.

Copy ni chache ,wasiliana nasi kwa 0789412904

pia tuna instagrama page yenye mafunzo mbalimbali ya ufugaji nguruwe wenye tija
 
Me naomba amzisheni group la ufugaji wa ngurue la whatsapp ili tuwe tunapeana ujuzi zaidi
 
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI

TSA- PIG FARMING
 
Back
Top Bottom