MalafyaleP
Senior Member
- May 23, 2013
- 187
- 387
😁Sawa Mkuu Ngoja waje,Wengine imani yetu hairuhusu kufuga /kula hao wadudu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁Sawa Mkuu Ngoja waje,Wengine imani yetu hairuhusu kufuga /kula hao wadudu.
Jamaa yupo kibiashara zaidi, ana magroup ya whatsaap nilishawahi jiunga, ukimuuliza swali lolote anakujibu nunua kitabu, hata kama may be nguruwe wako anaumwa ukauliza kwenye group nitumie dawa gani anakuambia nunua kitabu.Nimekuja mbio sana nikajua nakipata hapahapa kwa ku download. Kumbe ni mambo ya namba za simu tena
hahahahaaaa,,,, kweli kabisa mkuu. Huyo jamaa anauza vitoto vidogo vya nguruwe vilivyoacha kunyonya kwa sh milioni moja, kajikamatia misukule yake kibao kama wachungaji wa siku hizi hahahaJamaa yupo kibiashara zaidi, ana magroup ya whatsaap nilishawahi jiunga, ukimuuliza swali lolote anakujibu nunua kitabu, hata kama may be nguruwe wako anaumwa ukauliza kwenye group nitumie dawa gani anakuambia nunua kitabu.
nimekutumia Email mkuuwasiliana na mie nikutumie kitabu (PDF format) juu ya ufugaji wa nguruwe kwa njia ya kisasa. email yangu ni: richie_massive@yahoo.com
ntakutumia free of charge
Tatizo ubahili kwenye kununua msosi, hayo mambo mengine swaga tuTatizo wa tz tunapuuza sana suala la technolojia,
Mbegu nzuri za nguruwe tunaweza kupata wapi maana wengi wameishia kufuga nguruwe wanabaki wadogo au wanakua kwa speed ndogo sana.
Kama kuna anayefahamu ile mbegu ya kutoka south Africa iliyoingia wakati fulani nchini,atujuze zaidi..
unapoandika hitaji lako kama hili uwe unaweka maelezo ya kutosha,mf. hapo unaulizia dawa je ni dawa kwa ajili ya nini! okey,pitia jukwaa hili kwa umakini zipo mada zinazoweza kusaidia hitaji lako.ndo mana mpk muda huu huoni mawazo ya wadau.asantedawa gani ni bora
Invite link same revoked kama vipi una nyingine au ni add 0786244287Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe
Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....
Click link ifuatayo kujiunga......
Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI
TSA- PIG FARMING
Nipo mkata TANGAHabarini wandugu poleni na majukumu pia,
Naomba kwa wale wafanyabiashara ambao wametangulia kwenye hii biashara na ufugaji wa nguruwe tuweze kushirikishana utalaamu na uzoefu pia mimi binafsi sijawahi fanya biashara hii ila natarajia kuanzia mwezi wa kwanza mwakani nianze ila kidogo naitaji utaalamu kwenye mambo kadhaa kwanza Mbegu/species ambazo ni bora kwa ufugaji wa kibiashara na bei yake pia pili namna ya kuandaa chakula cha mifugo hawa au hamna jipya zaidi ya kukusanya mabaki ya vyakula sokon na hotelini tatu magonjwa na changamoto katika ufugaji wa hawa mifugo
Nne Masoko ya nguruwe hichi ndo kinachonifikirisha mno upande wangu kwa wale wenye uzoefu katika biashara hii ndani na nnje ya nchi naomba uzoefu nawasilisha mada!!!
Naomba wale wenye ujuzi kuhusu swala hili waweze kuchangia chochote kwa manufaa ya kila mtu ataihitaji utaalamu huu
NATANGULIZA SHUKRANI