Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Nimekuja mbio sana nikajua nakipata hapahapa kwa ku download. Kumbe ni mambo ya namba za simu tena
Jamaa yupo kibiashara zaidi, ana magroup ya whatsaap nilishawahi jiunga, ukimuuliza swali lolote anakujibu nunua kitabu, hata kama may be nguruwe wako anaumwa ukauliza kwenye group nitumie dawa gani anakuambia nunua kitabu.
 
hahahahaaaa,,,, kweli kabisa mkuu. Huyo jamaa anauza vitoto vidogo vya nguruwe vilivyoacha kunyonya kwa sh milioni moja, kajikamatia misukule yake kibao kama wachungaji wa siku hizi hahaha
 
Habari wanajamii poleni sana na majukumu ya apa na pale mimi ni kijana,binti mjasiriamali ila natamani sana kuongeza kipato kwa kuanzisha ufugaji wa nguruwe naishi mkoani mbeya watu wa mbeya mlio na ujuzi wa mambo haya tubadilishane mawazo Asanteni
 
Tatizo wa tz tunapuuza sana suala la technolojia,
Mbegu nzuri za nguruwe tunaweza kupata wapi maana wengi wameishia kufuga nguruwe wanabaki wadogo au wanakua kwa speed ndogo sana.
Kama kuna anayefahamu ile mbegu ya kutoka south Africa iliyoingia wakati fulani nchini,atujuze zaidi..
Tatizo ubahili kwenye kununua msosi, hayo mambo mengine swaga tu
 
Jaman naombeni ushauri wa ufugaji wa nguruwe.mambo gani ya kufanya ili nipate mazao ya mazuri ya nguruwe .pamoja na vyakula gani ni bora kwa nguruwe .dawa gani ni bora

Natanguliza shukran kwenu wanq JF
 
dawa gani ni bora
unapoandika hitaji lako kama hili uwe unaweka maelezo ya kutosha,mf. hapo unaulizia dawa je ni dawa kwa ajili ya nini! okey,pitia jukwaa hili kwa umakini zipo mada zinazoweza kusaidia hitaji lako.ndo mana mpk muda huu huoni mawazo ya wadau.asante
 
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI

TSA- PIG FARMING
Invite link same revoked kama vipi una nyingine au ni add 0786244287
 
mkuu unayouliza ni elimu ambayo si ya siku moja yani unapaswa uchukue hata siku mbili ufundishwe na yakukae tena na maandiko uachiwe uli upate mahala pakurudia endapo utasahau. usiwe wataka kilakitu kuuliza watu si rahisi kupata wachangiaji maana ni mzigo unawapa watu wa kukuandikia wewe, kuna blogs, vitabu na majarida mbalimbali yanayotoa elimu wa hivi vyote jitahidi kuwa unaanza huko unapata mwanzo ndo unakuja kuuliza kwa kile hujaelewa
 
Habarini wandugu poleni na majukumu pia,

Naomba kwa wale wafanyabiashara ambao wametangulia kwenye hii biashara na ufugaji wa nguruwe tuweze kushirikishana utalaamu na uzoefu pia mimi binafsi sijawahi fanya biashara hii ila natarajia kuanzia mwezi wa kwanza mwakani nianze ila kidogo naitaji utaalamu kwenye mambo kadhaa kwanza Mbegu/species ambazo ni bora kwa ufugaji wa kibiashara na bei yake pia pili namna ya kuandaa chakula cha mifugo hawa au hamna jipya zaidi ya kukusanya mabaki ya vyakula sokon na hotelini tatu magonjwa na changamoto katika ufugaji wa hawa mifugo

Nne Masoko ya nguruwe hichi ndo kinachonifikirisha mno upande wangu kwa wale wenye uzoefu katika biashara hii ndani na nnje ya nchi naomba uzoefu nawasilisha mada!!!

Naomba wale wenye ujuzi kuhusu swala hili waweze kuchangia chochote kwa manufaa ya kila mtu ataihitaji utaalamu huu

NATANGULIZA SHUKRANI
 
Nipo mkata TANGA
 
Back
Top Bottom