Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Ingekuwa vema kupata historia ya memejment ya hyo aquarium. Hata hivyo, harufu mara nyingi inatokana na maji machafu kwasababu ya chakula kuoza hivyo hutoa harufu.Shukran mkuu kwa uzi wako.
Hembu niambie inakuwaje maji yale yanakuwa yananuka.
Maana nilikuwa na wazo hili:-
Mie ni mpenzi sana wa samaki,ila ni wale wa mapambo tu ndani ya Nyumba nina Aquarium.
Ila my plan ni kwamba niweke kwa House kama mfugo ila sio for business ni kwa ajili ya home uses na the same time design ya bwana iwe kama house decoration pia.Sasa hapa suala la harufi linatokana na nini na namna ya kudhibiti.
Maana kuna miaka ya 98 kuna sehem niliona ndio maana nasemea kuhusu hilo.
Hembu wakuu nisaidieni maelezo
Nagusia hili hapa,ndio the pond of my Dream in my Dream house.
Hembu wataalam nipeni mchanganuo hapa, maana huu ndio ugonjwa wangu mwakani.
Okay nami nakupa muelekeo, Unajua siku hizi mambo yameendelea badala ya kutoa maji na kuweka mapya kama unasafisha, kuna pump maalumu inavuta maji na kurudisha katika fish pond, ipo box hio hapo chini, pili pump ambayo inarusha maji kutoka kwenye fish pond na kurudi chini kama mvua, hio inaingiza oxygen , pia kuna miti maalumu ambayo unapanda katika fish pond, hio pia inaingiza hewa ya samaki kama oxygen
Nimekuekea picha uwone jinsi Chakula cha samaki baadae linakuwa vumbi na kuwa bacteria, pia maji kuwa machafu na kuvamiwa na wadudu kama chura.
Nimekukubali mkuu kama Consultant wa ukweli.
Mwakani nitakutafuta.
Au kama unaweza kuweka Breakdown ya cost kama sample itasaidia wengi sana.
Kuanzia ujenzi hadi vifaa vyoote,na ufundi na mpaka kukamilia na kulikabidhi.
Mkuu nakukubali sana kwa ushauri wako.
Nimekutumia email.ili nianze kujipanga,yaani hii ni ndoto yangu sana yakuwa na pond lenye nakshi za kupendeza.
suala kwamba chakula kisichokuwa ktk pellets format kinaisha au kuoza sio issue kwani unashauriwa kuweka mara tatu kwa siku cha kuwatosha muda huo tu na pia unachagua eneo maalum la kusimama na kuwamwagia. Kwa maelezo yako kilo kumi kwa siku utazigawa mara tatu na kuwamwagia wanakula chote.
Fish are feeding to fill their energy demand...kama utaweka chakula chenye energy kubwa than protein content example vyakula vya mafuta na wanga...samak watakul kidogo na kuacha kingne.ndioo maana inabid utumia formular maalumu iliyotoka kw mtaalamu.in opposite way utaona samak wako wanakuka lakin uwez ona wats goin on under one meter depth..na maji yanakua na tubidity kubwa.ivo chakula haswa kilicho kwenye poda form kitapotea tuu.suala kwamba chakula kisichokuwa ktk pellets format kinaisha au kuoza sio issue kwani unashauriwa kuweka mara tatu kwa siku cha kuwatosha muda huo tu na pia unachagua eneo maalum la kusimama na kuwamwagia. Kwa maelezo yako kilo kumi kwa siku utazigawa mara tatu na kuwamwagia wanakula chote.
Ingawa sifahamu sana juu ya hilo bwawa la mifuko ya niloni..likin binafsi sishauri kwa mazingira ya tanzania kutumia iyo njia...mara nying tunashaur ivo kw mtu anaefanya water circulation systeam na sio concrete
pond...swali langu ni kua...samak watakaa
kwenye bwawa zaid ya miez sita...chakula kita sababisha maozo na mkandiano na nylon.je
utayatoa vp.na incase nylon imetoboka means seepage itatokea..then ikitokea kuna
algae wamekuja na u want kufanya complet drainage ya bwawa usafishe kidogo je
utafanyaje? So kw systeam ya nylon labda kaama unajenga aqurium na sio commecial fish farming.
Hivi haiwezekani kuchkua hiyo mbegu na kuileta huku Dar?Kwa Tz ufugaji wa samaki haikuwa biashara kubwa huko nyuma, lakini sasa hivi biashara hii inakuwa kwa kasi nzuri na inalipa. Samaki hawatoshelezi soko, samaki hawafiki kwa walaji ktk ubora unaotakiwa. Ukija ktk suala la afya, samaki wa kufugwa wanapendwa sana. Jiulize swali, iweje samaki atoke Japan na aje auzwe Dsm?
Market size ya tilapia hufikiwa baada ya miezi sita, tilapia huzaliana sana na wana growth rate kubwa ukizingatia utalaam. African cat fish huchelewa kidogo kufikia market size, lakini ni samaki anayeweza kuvumilia mazingira. Siku nilipofika FAO Kinguluira na kukosa vifaranga ndio nikajua kumekucha. Wafugaji wanaongezeka.
Igowole, kuna kabwawa kadogo, lakini kanatema samaki ile mbaya na kameajiri watu kibao, na mji wa Igowole sasa wana kitoweo cha uhakika. Ni suala la planning na kufuata utalaam.