Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Shukran mkuu kwa uzi wako.
Hembu niambie inakuwaje maji yale yanakuwa yananuka.

Maana nilikuwa na wazo hili:-
Mie ni mpenzi sana wa samaki,ila ni wale wa mapambo tu ndani ya Nyumba nina Aquarium.
Ila my plan ni kwamba niweke kwa House kama mfugo ila sio for business ni kwa ajili ya home uses na the same time design ya bwana iwe kama house decoration pia.Sasa hapa suala la harufi linatokana na nini na namna ya kudhibiti.
Maana kuna miaka ya 98 kuna sehem niliona ndio maana nasemea kuhusu hilo.
Hembu wakuu nisaidieni maelezo
 
Ingekuwa vema kupata historia ya memejment ya hyo aquarium. Hata hivyo, harufu mara nyingi inatokana na maji machafu kwasababu ya chakula kuoza hivyo hutoa harufu.

Kama analisha anatakiwa awe anafanya usafi kwa kutoa mabaki ya chakula ktk maji. Pia, abadilishe maji kiasi kila baada ya wk au wk 2. Ni vema utoe historia ya menejment anayoifanya.

Karibu
 
Nagusia hili hapa,ndio the pond of my Dream in my Dream house.
Hembu wataalam nipeni mchanganuo hapa,maana huu ndio ugonjwa wangu mwakani.
pon.jpegpond1.jpegpond2.jpegpond4.jpegpond6.jpegpond11.jpegpond 3.jpegpond..jpeg
 
Nagusia hili hapa,ndio the pond of my Dream in my Dream house.

Hembu wataalam nipeni mchanganuo hapa, maana huu ndio ugonjwa wangu mwakani.

1411579904633.jpg
1411579916372.jpg
1411579956202.jpg
1411579971032.jpg
1411579982952.jpg
1411580004942.jpg

Okay nami nakupa muelekeo, Unajua siku hizi mambo yameendelea badala ya kutoa maji na kuweka mapya kama unasafisha, kuna pump maalumu inavuta maji na kurudisha katika fish pond, ipo box hio hapo chini, pili pump ambayo inarusha maji kutoka kwenye fish pond na kurudi chini kama mvua, hio inaingiza oxygen , pia kuna miti maalumu ambayo unapanda katika fish pond, hio pia inaingiza hewa ya samaki kama oxygen

Nimekuekea picha uwone jinsi Chakula cha samaki baadae linakuwa vumbi na kuwa bacteria, pia maji kuwa machafu na kuvamiwa na wadudu kama chura.
 
Nimekukubali mkuu kama Consultant wa ukweli.
Mwakani nitakutafuta.
Au kama unaweza kuweka Breakdown ya cost kama sample itasaidia wengi sana.
Kuanzia ujenzi hadi vifaa vyoote,na ufundi na mpaka kukamilia na kulikabidhi.
 
Vipi mahali lilipo Bwawa? Mfano, Ukuaji wa samaki katika bwawa lililopo Makete au Uporoto-Mbeya na Makambako (sehemu za baridi) na lile la ukanda wa pwani kama vile Rifiji, Mkuranga na Chalinze au Bagamoyo, hauwezi kuathiri mwenendo wa kukua kwa samaki?
 
Nimekukubali mkuu kama Consultant wa ukweli.
Mwakani nitakutafuta.
Au kama unaweza kuweka Breakdown ya cost kama sample itasaidia wengi sana.
Kuanzia ujenzi hadi vifaa vyoote,na ufundi na mpaka kukamilia na kulikabidhi.

Inshallah, Inategemea na ukubwa na quality Unayo taka, kuna more add vitu vya kupendeza zaid fish pond kama light za solar ambazo ni design ya majani yanayo ota kwenye maji,kuna light ambazo kwa wakati wa usiku humurika chini na kufanya maji kuwa blue and shine, na mengi ambayo ya kuweka, Inategemea na mfuko wako,kama unataka pond kama ni natural inabidi yapatikane mawe ya jabali, au tiles za jabali, hio inakuwa na mvuto mzuri zaidi kama kwenye picha hapo juu,unaavyoo ona.
Email. Ghalib@live.ie
 
Mkuu nakukubali sana kwa ushauri wako.
Nimekutumia email.ili nianze kujipanga,yaani hii ni ndoto yangu sana yakuwa na pond lenye nakshi za kupendeza.
 
Mkuu nakukubali sana kwa ushauri wako.
Nimekutumia email.ili nianze kujipanga,yaani hii ni ndoto yangu sana yakuwa na pond lenye nakshi za kupendeza.

Nimepata email yako,nitakujiabu, Internet inasumbua kidogo, inaenda error.
 
Tatizo lingine kwa wafugaji huria hawarutubishi maji ipasavyo nimekuta jamaa karutubisha maji ya bwawa miezi 3 iliyopita alaf anashangaa kw nn samak wamedumaa. Kwaiyo kunakuwa na upungufu wa chakula cha asili bwawani (phytoplankton na zooplankton).
Unatakiwa kurutubisha angalau kila baada ya wiki mbili.
Kiasi cha mbolea kinategemea ukubwa wa bwawa na aina ya mbolea unayotumia.

Mf kwa kila mita 1 ya mraba:
Kama unaweka ya kuku ni 30g.

Kama unaweka ya ng'ombe ni100g.

Kama unaweka DAP ni 2g.
Sasa hapo zidisha mara ukubwa wa bwawa lako ili kupata mahitaji halisi.
 
suala kwamba chakula kisichokuwa ktk pellets format kinaisha au kuoza sio issue kwani unashauriwa kuweka mara tatu kwa siku cha kuwatosha muda huo tu na pia unachagua eneo maalum la kusimama na kuwamwagia. Kwa maelezo yako kilo kumi kwa siku utazigawa mara tatu na kuwamwagia wanakula chote.

Fish are feeding to fill their energy demand...kama utaweka chakula chenye energy kubwa than protein content example vyakula vya mafuta na wanga...samak watakul kidogo na kuacha kingne.ndioo maana inabid utumia formular maalumu iliyotoka kw mtaalamu.in opposite way utaona samak wako wanakuka lakin uwez ona wats goin on under one meter depth..na maji yanakua na tubidity kubwa.ivo chakula haswa kilicho kwenye poda form kitapotea tuu.
 
Ingawa sifahamu sana juu ya hilo bwawa la mifuko ya niloni..likin binafsi sishauri kwa mazingira ya tanzania kutumia iyo njia...mara nying tunashaur ivo kw mtu anaefanya water circulation systeam na sio concrete pond...swali langu ni kua...samak watakaa kwenye bwawa zaid ya miez sita...chakula kita sababisha maozo na mkandiano na nylon.je utayatoa vp.na incase nylon imetoboka means seepage itatokea..then ikitokea kuna algae wamekuja na u want kufanya complet drainage ya bwawa usafishe kidogo je utafanyaje? So kw systeam ya nylon labda kaama unajenga aqurium na sio commecial fish farming.
 
Uzi mzuri.

Machine za kusafishia maji zinapatikana wapi?
 
Nimepata email zenu, Natumai mumepata email zangu.
 
Ingawa sifahamu sana juu ya hilo bwawa la mifuko ya niloni..likin binafsi sishauri kwa mazingira ya tanzania kutumia iyo njia...mara nying tunashaur ivo kw mtu anaefanya water circulation systeam na sio concrete
pond...swali langu ni kua...samak watakaa
kwenye bwawa zaid ya miez sita...chakula kita sababisha maozo na mkandiano na nylon.je
utayatoa vp.na incase nylon imetoboka means seepage itatokea..then ikitokea kuna
algae wamekuja na u want kufanya complet drainage ya bwawa usafishe kidogo je
utafanyaje? So kw systeam ya nylon labda kaama unajenga aqurium na sio commecial fish farming.

Mkuu hizi Nylon si kama zile za kawaida tulizozioea, hizi ni special kwa mabwawa ya kuifadhia maji na pia kufugia samaki.

Pia kuhusu kuingiza na kutoa maji kwenye bwawa,hizi nylon zinapowekwa kwenye bwawa wanatoboa kitaalamu na kuweka water channel au bomba za kuingiza na kutoa maji wakati unataka kufanyia usafi bwawa lako la samaki, kuna jamaa wanaitwa Balton Tanzania wapo Dar na Arusha wanazo hizi special nylon(i.e😛ond liner)
ingawa kwakweli bei yake sihifahamu.

Kuhusu hatari ya kutoboka kwa hiyo nylon si kubwa,na uwekwaji wa hiyo nylon kwenye bwawa jipya ni wa haraka zaidi na bwawa kuanza kutumika ukilinganisha na ujenzi wa bwawa la cement.

Hatari ya bwawa la cement kupata nyufa na kuanza kuvujisha maji ni kubwa edapo utajengewa na fundi ambaye si mzuri ukilinganisha nakutumia hizi special nylon.

Asante!
 
Kwa Tz ufugaji wa samaki haikuwa biashara kubwa huko nyuma, lakini sasa hivi biashara hii inakuwa kwa kasi nzuri na inalipa. Samaki hawatoshelezi soko, samaki hawafiki kwa walaji ktk ubora unaotakiwa. Ukija ktk suala la afya, samaki wa kufugwa wanapendwa sana. Jiulize swali, iweje samaki atoke Japan na aje auzwe Dsm?

Market size ya tilapia hufikiwa baada ya miezi sita, tilapia huzaliana sana na wana growth rate kubwa ukizingatia utalaam. African cat fish huchelewa kidogo kufikia market size, lakini ni samaki anayeweza kuvumilia mazingira. Siku nilipofika FAO Kinguluira na kukosa vifaranga ndio nikajua kumekucha. Wafugaji wanaongezeka.

Igowole, kuna kabwawa kadogo, lakini kanatema samaki ile mbaya na kameajiri watu kibao, na mji wa Igowole sasa wana kitoweo cha uhakika. Ni suala la planning na kufuata utalaam.
Hivi haiwezekani kuchkua hiyo mbegu na kuileta huku Dar?
 
Back
Top Bottom