Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Wasiliana na huyo 0714639399. wanaitwa Marenga wapo opposite na Ubungo plaza. Ni importers wa chakula cha samaki
mkuu nielekeze mahala naweza pata msosi maana umeishia niuliza tuu n nimekujibu ila mrejesho sijapata
 
alaf pia watu wanapotoshwa.. Au wanapewa elimu nusunusu hawapewi Uhalisia.. Nawaona tu nakaa kimya kila mtu abebe msalaba wake.. Maana ukiingilia kazi ya mtu unamuharibia soko lake.

Ushauri wangu watu wajitahidi kufanya kitu na sio kuish kinadharia.. Kuna mambo mengi kuhsu sato.. Very interesting.. Unatakiwa Umjue sato ndo uje ujue ufugaji wake na sio kuanza kujua ufugaji kabla ya kukijua unachokifuga.
Sato ukimfuga bila kumjua kweli vinadumaa na huku umewekeza lishe yote. Mpaka wanaovua kweny mawe na ziwan wanakucheka sokon. Anayejua vizur ufugaj wa sato kwa mfumo wa cages anisaidie. Hasa mtaj wa kuanzia minimum ni upi kwa cage. 6m²
 
Habari wanajamii , watalamu Wa ufugaji Wa samaki naombeni mwongozo kwenye swala zima la samaki kufuga kwakuzingatia mabwawa na vifaa muhimu vyakuwa navyo maana nataka nianzishe huo mradi na kwa tathmini ya haraka mtaji kwa mtu Wa chini kabixa nanza na sh ngap?
 
Kuna mdau anaitwa heradius sijui kutag ningemuita yeye ni mtaalamu Wa hizo mishe za samaki na mwingine anaitwa mwinyimkuu
Tafuta nyuzi zao humu wamezungumzia sana.ukikwama uje pm nikupe namba zao wakupe maujuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu salamu,naomba wenye uzoefu wa kufuga samaki wanipe mchanganuo wa vitu vinavyohitajika na vinagharimu shilling ngapi.Na je samaki wanachukua muda gani tangu unapoanza kuwafuga ili wawe wamekomaa kwa ajili ya kuuzwa?

Nini changamoto ya hii biashara?,mtaji wake ni sh.ngapi?Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu salamu,naomba wenye uzoefu wa kufuga samaki wanipe mchanganuo wa vitu vinavyohitajika na vinagharimu shilling ngapi.Na je samaki wanachukua muda gani tangu unapoanza kuwafuga ili wawe wamekomaa kwa ajili ya kuuzwa? Nini changamoto ya hii biashara?,mtaji wake ni sh.ngapi?Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pitia huu uzi na kama hujapata majawabu ya maswali yako basi utanisms nikusaidie.
 
IGNAS AQUACULTURE CONSULTANTS. Ni wataalam wa ufugaji wa samaki wenye uzoefu mkubwa katika field.

Wanatoa ushauri bora wa ufugaji wa samaki kwa kuzingatia uhalisia wa eneo pamoja na matokeo yanayotarajiwa, namna nzuri ya uzalishaji wa kambale pamoja na homoni mbali mbali zinazotumika katika uzalishaji, kupima ubora wa maji kwa kutumia vipimo vya kisasa.

Pia wanatoa ushauri kuhusu maendeleo ya ukuaji wa samaki na kutoa mapendekezo ya nini kifanyike ili kufikia matokeo uliyoyatarajia kwa kutembelea maeneo ya mradi. Wanapatikana KUNDUCHI, BURGET STREET, PLOT NO 278, BLOCK B. Kwa mawasiliano 0752 616270
IMG-20200126-WA0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada uleaji wa samaki sato 1. Mchanganyiko wa chakula 2. Kiasi cha chakula anachokula kulingana na umri wake 3. Chakula special (pillet) kinapatikana wapi hapa tanzania mi niko mbeya. 4. Hulishwa mara ngapi kwa siku. Samaki hzaa vifanga wangapi
NENDA YOU TUBE TAFUTA Fish Academy HUTOJUTIA ANAMASOMO MENGI SAANA,,,,NA ANAYATOA BILA HIYANA
KILA LA KHERI
 
Kwa anayehitaji Sungura Newzealand Rabbit na Dutch mixed breed kwa bei poa tu

#Inbox for more info
 
Natanguliza shukurani,naomba hatua za kupitia kuhusu ufugaji wa samaki,naomba ushirikiano wenu ndugu zangu
 
Kabla hujaanza kufuga samaki Kuna mambo au hatua muhimu na za msingi kuzijua kama vile
1.uwe na Eneo lisilo na migogoro ya matumizi ya maji na ardhinikimaanisha eneo liwe lako na lisiwe na migogoro yoyote ya kugombea ardhi ama maji

2.Uhakika wa Maji safi, salama na yakutosha kwakua ndo uhai wa samaki

3.Nguvu kazi, ni muhimu katika eneo lako utakalo anzisha mradi ikijumuisha mtaji na wafanyakazi na vitendea kazi

4.kujipatia maarifa/ elimu ya msingi ya ufugaji wa samakikutoka kwa mfugaji aliyefanikiwa ama taasisi zinazojishughulisha na tasnia ya ufugaji samaki ama kumuona mtaalam wa mambo ya ufugaji samaki.

Nahis umenielewa kias flani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom