mkuu nielekeze mahala naweza pata msosi maana umeishia niuliza tuu n nimekujibu ila mrejesho sijapata
Sato ukimfuga bila kumjua kweli vinadumaa na huku umewekeza lishe yote. Mpaka wanaovua kweny mawe na ziwan wanakucheka sokon. Anayejua vizur ufugaj wa sato kwa mfumo wa cages anisaidie. Hasa mtaj wa kuanzia minimum ni upi kwa cage. 6m²alaf pia watu wanapotoshwa.. Au wanapewa elimu nusunusu hawapewi Uhalisia.. Nawaona tu nakaa kimya kila mtu abebe msalaba wake.. Maana ukiingilia kazi ya mtu unamuharibia soko lake.
Ushauri wangu watu wajitahidi kufanya kitu na sio kuish kinadharia.. Kuna mambo mengi kuhsu sato.. Very interesting.. Unatakiwa Umjue sato ndo uje ujue ufugaji wake na sio kuanza kujua ufugaji kabla ya kukijua unachokifuga.
Poa poa mkuu
Pitia huu uzi na kama hujapata majawabu ya maswali yako basi utanisms nikusaidie.Wakuu salamu,naomba wenye uzoefu wa kufuga samaki wanipe mchanganuo wa vitu vinavyohitajika na vinagharimu shilling ngapi.Na je samaki wanachukua muda gani tangu unapoanza kuwafuga ili wawe wamekomaa kwa ajili ya kuuzwa? Nini changamoto ya hii biashara?,mtaji wake ni sh.ngapi?Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
AhsantePitia huu uzi na kama hujapata majawabu ya maswali yako basi utanisms nikusaidie.
NENDA YOU TUBE TAFUTA Fish Academy HUTOJUTIA ANAMASOMO MENGI SAANA,,,,NA ANAYATOA BILA HIYANAMsaada uleaji wa samaki sato 1. Mchanganyiko wa chakula 2. Kiasi cha chakula anachokula kulingana na umri wake 3. Chakula special (pillet) kinapatikana wapi hapa tanzania mi niko mbeya. 4. Hulishwa mara ngapi kwa siku. Samaki hzaa vifanga wangapi