Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Mkuu na Mimi nina shida na huyo mhusika
 
salaam,

Mkuu unamtaka huyu wa samaki Kinguluira?
Habari yako Mkuu unaweza kunipa msaada wa mawasiliano wa huyo muhusika kutoka Kinguruila gerezani anayeuza kambale kwa tsh 30 maana nimetokea kuvutiwa na bei yake nzuri asante sana.
 
Habari yako Mkuu unaweza kunipa msaada wa mawasiliano wa huyo muhusika kutoka Kinguruila gerezani anayeuza kambale kwa tsh 30 maana nimetokea kuvutiwa na bei yake nzuri asante sana.
kifaranga cha kambale kwa tsh 30?
 
Habari yako Mkuu unaweza kunipa msaada wa mawasiliano wa huyo muhusika kutoka Kinguruila gerezani anayeuza kambale kwa tsh 30 maana nimetokea kuvutiwa na bei yake nzuri asante sana.
Ni vizuri kumuona mtaalam wa samaki akakusaidia njia nzuri ya kupata mbegu iliyo bora. Sometimes kuna uhuni unaweza kufanyiwa kwa kupewa mbegu ambayo tayari imedumaa hivyo kushindwa kufikia malengo uliyoyatarajia.
 
Kwenye bwawa ambalo lilikuwa na kambale nafanyaje kuwaondoa kambale wanaojificha kwenye tope kabla sijaingiza vifaranga wa sato?
 
Nataka kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki hasa mkoa wa Dodoma. Najua kuna changamoto ya maji lakini naomba ushauri, maji yenye chumvi kidogo yanafaa kufuga samaki.

Nataka kuchimbwa bwana pia, naomba minimum estimates za kutengeneza just a local pond kwa ajili ya samaki (Sato) 1,000 au kambale 500
 
umefikia wapi na ufugaji wako mzee? bado unafuga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…