fufumajeusi
Senior Member
- Dec 21, 2024
- 148
- 254
My purpose is im 30s now upepo bado mgumu wadau japo kwa mtu akiniona kwa njee hawezi amini smt mpaka nawaza mybe ndoto zangu haziko relevant katika dunia hii i need new set up and focus. kuna vitu vina ni vunja moyo sana ambavyo ni
1. Hali ya kiuchumi ya wazazi na familia huko kijijini ni masikini mno back up kubwa ni mimi 2.lawama kutoka kwa wana ndugu ni kibao wakikosa hitaji kutoka kwangu na ukicheki najitafuta,ngoja niishie hapa niende kwenye point direct
Kama kijana najaribu kujichanga atleast nipate 10M
ambapo
1. 5m nifanye agribusiness
2.5m nisajili local microfinance nifanye kazi
Zone niko domu wakuu,kama hutojali funguka katika umri huu ulifanya nini ama jitihada gani ama mchongo gani ambao ulibadili mifumo yako ya maisha jumla
Note: ushauri wako unaweza nivusha kutoka hapa nilipo