MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Hapana. Nilivyoanza kumtafuna mama yako mzazi ndo nikaanza kupata unafuu.Uchawa ni mojawapo ya jambo lililokusaidia kurudi mstarini kwenye unafuu?
Hapana. Nilivyoanza kumtafuna mama yako mzazi ndo nikaanza kupata unafuu.Uchawa ni mojawapo ya jambo lililokusaidia kurudi mstarini kwenye unafuu?
nimekupata mkuuMan upo dom. sioni Kama dom sahiv kuna mishe ilikua zaman kipind cha magu but ucwazeee ukiona vipi hiyo ten mln kuipata sio mchezo na huna back up jilipue Zanzibar potelea huko 3.4 years banana na watalii maybe utapata ukiwa serious. Fika tafuta biashara ndogo jiajiri ukiona vihela vidogo havikupigi chenga anza kwenda sehem za watalii hi ndio njia nyepesi isiio hitaji mtaji mkubwa tengeneza marafiki usitongoze us I disturb watu ukiotea tu mmoja fresh.
umefafanua vizuri mkuuDefinition ya life begins at 40 naona wengi inatupiga chenga.
At 40 uwe tayari:
-Umejijenga kiuchumi.
-Una mazingira ya uhakika ya kulala
-Umemaliza swala zima la uzazi/kuzaa.
-Watoto wanaenda college huko, sio ndio unatafuta first born
At 40 unatakiwa uwe ume achieve goals zako zote/nyingi za maisha, sio wakati wa kusikilizia michongo tena.
Njoo kwetu sasa, Mungu atusaidie.
mkuu tutumie lugha nzuriHapana. Nilivyoanza kumtafuna mama yako mzazi ndo nikaanza kupata unafuu.
thank u chiefPole Sana mkuu
umeongea fact tupuHauko peke yako karibu kila mtu ana stress kivyake. Anza na ulicho nacho polepole... achana na habari za umri kwa sababu utaishia kupanik zaidi. Pia ACHA UPUMBAVU wa kujifanya kristo kuliko Yesu kristo mwenyewe. Sio jukumu lako kulipa bills za ndugu zako kijijini... acha huo upuuzi. Vaa roho ngumu na ukate mawasiliano na wote wanaotaka kutafuna hata hicho kidogo ulicho nacho. Hicho kitita cha chini ya 1m kinatakiwa kizungushwe kizae na sio kusaidia maskini wenzako. Milioni ukitoa buku sio milioni tena ndo maana matajiri huwa hawatoi hela kizembe.
Hapo kaa chini na baba na mama uwaeleze uhalisia wa hali yako ili wakuelewe na kukubariki. Kimsingi fanya kazi yoyote halali inayokupatia pesa. Mimi nikiwa na 25 hadi 29 nilishika hela lakini kufikia 30 mwanzoni nilifilisika kabisa... nimekuja kupata unafuu bado krismasi chache nifikishe 40. Silaha yangu kuu hadi ninasimama upya ni kutokimbia ukweli wa maisha yangu. Mimi huwa nakubali makosa yangu na kubeba gharama.
Janja!! Sisi tunatafuta Pepo tukatafune bikra 72. Nyinyi mna hangaika na Dunia.ground hakuja wahi kuwa kwepesi kwa yoyote yule, ni vile watu wana tofautiana kiwango cha stress au matatizo tu.
Nakubaliana nawe 30 yrs is a terrifying number, ila hio level ya uoga igeuze kwenye confidence ya kutenda mambo.
tafuta hata 1m, kisha uangaze issue ya kufanya mzee.
Kuhusu misaada kwa ndugu, jikune pale unapo weza.
(Kuhusu umri sija fikia, ila nilicho fanikisha kita kuongezea stress bure)
Ungeanza kwanza kumshauri aliyeniita chawamkuu tutumie lugha nzuri
janja dini uchwara Zina kuharibu kichwa, pepo ya kwanza iko duniani hiyo nyingine ni myth stories za wahuni.Janja!! Sisi tunatafuta Pepo tukatafune bikra 72. Nyinyi mna hangaika na Dunia.
Daaah nimesikitikaDefinition ya life begins at 40 naona wengi inatupiga chenga.
At 40 uwe tayari:
-Umejijenga kiuchumi.
-Una mazingira ya uhakika ya kulala
-Umemaliza swala zima la uzazi/kuzaa.
-Watoto wanaenda college huko, sio ndio unatafuta first born
At 40 unatakiwa uwe ume achieve goals zako zote/nyingi za maisha, sio wakati wa kusikilizia michongo tena.
Njoo kwetu sasa, Mungu atusaidie.
Duniani ni watoto wa kina kizigha na Abdul ndio wanaishi kama peponi.janja dini uchwara Zina kuharibu kichwa, pepo ya kwanza iko duniani hiyo nyingine ni myth stories za wahuni.
sio lazima tulingane nao janja, hata sisi ma jobless pro max tuna viwango vyetu amvavyo huwa tuna feel betterDuniani ni watoto wa kina kizigha na Abdul ndio wanaishi kama peponi.
hahaha masikini mnajua kujifariji sana!! Maisha ya kuishi ni kama Yale ya watoto wa kina kizigha janja.sio lazima tulingane nao janja, hata sisi ma jobless pro max tuna viwango vyetu amvavyo huwa tuna feel better
janja mimi najivunia life style niliyo kuwa nayo, chocolate, chips, mabembea, cinema, movie za kwenye dishi la ungo, wali maharage, kombolela, kucheza mpira, hivyo vyote ni memories za kutosha.hahaha masikini mnajua kujifariji sana!! Maisha ya kuishi ni kama Yale ya watoto wa kina kizigha janja.
🤣🤣🤣🤣🤣 sicheki kama yanafurahisha ila ni huzuni.ground hakuja wahi kuwa kwepesi kwa yoyote yule, ni vile watu wana tofautiana kiwango cha stress au matatizo tu.
Nakubaliana nawe 30 yrs is a terrifying number, ila hio level ya uoga igeuze kwenye confidence ya kutenda mambo.
tafuta hata 1m, kisha uangaze issue ya kufanya mzee.
Kuhusu misaada kwa ndugu, jikune pale unapo weza.
(Kuhusu umri sija fikia, ila nilicho fanikisha kita kuongezea stress bure)
Pambana wanao wasije wakaleta uzi huu 2050, mimi mzee wangu ali pambana nami naendelea alipo achia usukani🤣🤣🤣🤣🤣 sicheki kama yanafurahisha ila ni huzuni.
noted chiefMicrofinance ni 20m minimum.
noted brazaMiaka 30 Kwa mfumo wetu wa Elimu, unakuta mtu ndiyo ametoka kuhitimu degree yake ya kwanza miaka 3 iliyopita
Hivyo unakuta umri huo wa 30 unakuta anatembea na bahasha kutafuta kazi
Neno la Faraja ni kwamba; Maisha huanza ukifika miaka 40
Kwahiyo umri wa kabla ya 40, sio wa kujipa stress manake ndiyo kwanza unakuwa kwenye utafutaji