JaxenDL
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 1,118
- 2,581
Mkuu fufumajeusi umewahi soma story ya Lemutuz ipo uku kwa jina la My American experience?
jipe kipaumbele wewe kwanza. Hakikisha unapigania ndoto zako ukiweka vitu vingine kablaya ndugu n.k hakika utafika umechoka au usiffike kabisa. Hakikisha unaishi kabla hujafa.