UFUKARA UKIWA Early 30s SIO Poa, I am not sure if I was destined to live like this!

UFUKARA UKIWA Early 30s SIO Poa, I am not sure if I was destined to live like this!

Dom
Man upo dom. sioni Kama dom sahiv kuna mishe ilikua zaman kipind cha magu but ucwazeee ukiona vipi hiyo ten mln kuipata sio mchezo na huna back up jilipue Zanzibar potelea huko 3.4 years banana na watalii maybe utapata ukiwa serious. Fika tafuta biashara ndogo jiajiri ukiona vihela vidogo havikupigi chenga anza kwenda sehem za watalii hi ndio njia nyepesi isiio hitaji mtaji mkubwa tengeneza marafiki usitongoze us I disturb watu ukiotea tu mmoja fresh.
dom kibiashara vp
 
Hauko peke yako karibu kila mtu ana stress kivyake. Anza na ulicho nacho polepole... achana na habari za umri kwa sababu utaishia kupanik zaidi. Pia ACHA UPUMBAVU wa kujifanya kristo kuliko Yesu kristo mwenyewe. Sio jukumu lako kulipa bills za ndugu zako kijijini... acha huo upuuzi. Vaa roho ngumu na ukate mawasiliano na wote wanaotaka kutafuna hata hicho kidogo ulicho nacho. Hicho kitita cha chini ya 1m kinatakiwa kizungushwe kizae na sio kusaidia maskini wenzako. Milioni ukitoa buku sio milioni tena ndo maana matajiri huwa hawatoi hela kizembe.

Hapo kaa chini na baba na mama uwaeleze uhalisia wa hali yako ili wakuelewe na kukubariki. Kimsingi fanya kazi yoyote halali inayokupatia pesa. Mimi nikiwa na 25 hadi 29 nilishika hela lakini kufikia 30 mwanzoni nilifilisika kabisa... nimekuja kupata unafuu bado krismasi chache nifikishe 40. Silaha yangu kuu hadi ninasimama upya ni kutokimbia ukweli wa maisha yangu. Mimi huwa nakubali makosa yangu na kubeba gharama.
MKUU,unayajua sana maisha,THERAPY ya kwanza kabisa ni kukubali makosa yako kisha kuishi kulingana na hali ya kipato ulichonacho
 
Hauko peke yako karibu kila mtu ana stress kivyake. Anza na ulicho nacho polepole... achana na habari za umri kwa sababu utaishia kupanik zaidi. Pia ACHA UPUMBAVU wa kujifanya kristo kuliko Yesu kristo mwenyewe. Sio jukumu lako kulipa bills za ndugu zako kijijini... acha huo upuuzi. Vaa roho ngumu na ukate mawasiliano na wote wanaotaka kutafuna hata hicho kidogo ulicho nacho. Hicho kitita cha chini ya 1m kinatakiwa kizungushwe kizae na sio kusaidia maskini wenzako. Milioni ukitoa buku sio milioni tena ndo maana matajiri huwa hawatoi hela kizembe.

Hapo kaa chini na baba na mama uwaeleze uhalisia wa hali yako ili wakuelewe na kukubariki. Kimsingi fanya kazi yoyote halali inayokupatia pesa. Mimi nikiwa na 25 hadi 29 nilishika hela lakini kufikia 30 mwanzoni nilifilisika kabisa... nimekuja kupata unafuu bado krismasi chache nifikishe 40. Silaha yangu kuu hadi ninasimama upya ni kutokimbia ukweli wa maisha yangu. Mimi huwa nakubali makosa yangu na kubeba gharama.
Una akili mingi sana
 
Kesho ni siku yangu ya kuzaliwa, ninacho zidi kujifunza kila kitu kina gharama ya kulipa.

Umaskini, average life, au hata hayo maisha bora lazima uyalipie ili upate thamani unayo hitaji.

Hapo kwenye gharama ya kulipa ndio kasheshe, uki changanya lazima hesabu zigeuke yenyewe ndio yakulipishe.
 
Ukiwaza umri na ulipo hujatoboa, utapanik bure na kupoteza ulicho nacho.
Ishi na kubari hapo ulipo na ule na kutumia kidogo cha faida ulichopata, usile mtaji.
Namaanisha hata wew unaweza jikopa endapo ukila mtaji na uhakikishe unairudishia. Mfano mim nina biashara mbili tofauti A na B nikichukua pesa kweny biashara B ili nikaizungushe kweny biashara A nikizungusha ntairudisha nikoitoa kama sio yangu vile. hapo najikopa.
hata pesa ulio nayo izalishe ule matunda.
kubari ulipo, pambana leo leo kesho ndo utagundua jana imekusogeza au lah.
na endelea kupambana hapopo ata kama umefeli tafta mbinu mpya ya unachokipambania, usipende kubadili kazi kila siku.

punguza kusaidia waambie hari harisi ndugu zako.

MWISHO
Usiku wa manane amka sari kwa imani sio kimazoea. Mwombe Mungu akupe kibari cha kusogea mbele kiuchumi na milango ya uchumi ikawe wazi. na vunja maagano ya kiroho na mwili yaliyonenwa juu yako na vifungo.
OGA NA MAJI YA CHUMVI bila sabun mara mojamoja.

utaona mambo yakifunguka.
 
Back
Top Bottom