fufumajeusi
Senior Member
- Dec 21, 2024
- 148
- 254
oyah chiefTulia life begin at 40
nikweli boss wangu, japo kwa umri huu makazi na biashara ni kitu muhimu sanaMbona unacomplicate maisha kaka😀.
Hata hiyo 10M ukiipata huenda usitoboe vile unavyofikiria.
Cha msingi ishi maisha kulingana na kile ulichonacho.
Pia, usiishi kwa kuwasikiliza ndugu zako sana. Toa msaada kulingana na uwezo wako, utakapoishia ndo hapo hapo, atakayelaumu basi atajijua yeye, none of your business.
Kingine, usiwe na ndoto ya kubeba ukoo mzima endapo haubebeki. Weww saidia yule anayesaidika tu.
Mfano, kama una wadogo zako, basi atakayefaulu mpe msaada, atakayefeli let him/her apambane na maisha mengine, ajitafute yeye. Kwenye haya maisha kila mtu kapangiwa fate yake.
below 1m niko nayo chiefYaan kaka mfukoni hauna hata sh laki tatu afu hapo hapo unataka upate million kumi? Sure?
hahaa dah noted chiefDuniani hukuja na kitu n hutoondoka na kitu mbona unjipa umuhimu hvyo.
Ila muhimu kaza mm na umri wqngu wa 35, sina nachojivunia kweny material things zaid ya mashine tu
Hii kauli imewapoteza wengiTulia life begin at 40
Hauko peke yako karibu kila mtu ana stress kivyake. Anza na ulicho nacho polepole... achana na habari za umri kwa sababu utaishia kupanik zaidi. Pia ACHA UPUMBAVU wa kujifanya kristo kuliko Yesu kristo mwenyewe. Sio jukumu lako kulipa bills za ndugu zako kijijini... acha huo upuuzi. Vaa roho ngumu na ukate mawasiliano na wote wanaotaka kutafuna hata hicho kidogo ulicho nacho. Hicho kitita cha chini ya 1m kinatakiwa kizungushwe kizae na sio kusaidia maskini wenzako. Milioni ukitoa buku sio milioni tena ndo maana matajiri huwa hawatoi hela kizembe.below 1m niko nayo chief
Unajua changamoto ndio mafanikio. Wote unaowaona wenye hivyo unavyovitaka walikuwa kama wewe na walipitia changamoto kama zako. Jaribu kwanza kubadili mawazo yako halafu hayo mengine yatabadilikaMimi naitafuta 40 sasa ila naona kona zote zime bana.
Kuna mdau hapo juu amesema maisha yana anzia ukiwa na umri wa miaka 40, kidogo amenipa moyo ila kwa kiasi chake maisha kwa ujumla wake ni msingi , kama msingi umewekwa kwa udhaifu hakika kutoboa ni ngumu hata uwe na mawazo chanya kiasi gani ila si kwa wote.
Binafsi naamini katika bahati, kipaji, elimu na connection, hivyo kimoja wapo haswa bahati kikikosekana kwako utapata shida sana kuuvuka umaskini.
Microfinance ni 20m minimum.2.5m nisajili local microfinance nifanye kazi