UFUKARA UKIWA Early 30s SIO Poa, I am not sure if I was destined to live like this!

Bahati ni matunda ya upambanaji,tafuta kwa njia yoyote ioe iliyo halali na isiyo halali moaka ufanikiwe.ukiona A imegoma apply B na C.
 
Man upo dom. sioni Kama dom sahiv kuna mishe ilikua zaman kipind cha magu but ucwazeee ukiona vipi hiyo ten mln kuipata sio mchezo na huna back up jilipue Zanzibar potelea huko 3.4 years banana na watalii maybe utapata ukiwa serious. Fika tafuta biashara ndogo jiajiri ukiona vihela vidogo havikupigi chenga anza kwenda sehem za watalii hi ndio njia nyepesi isiio hitaji mtaji mkubwa tengeneza marafiki usitongoze us I disturb watu ukiotea tu mmoja fresh.
 
Hakika mkuu
 
Umemalizia vyema kabisa ni muhimu sana kukubali wapi ulikosea na ukaanzia hapo ulipo.
 
Mpe connection hata huko ccm awe chawa
 
Hapo nilipo bold ni sahihi
Kuanza upya sio ujinga
 
Tulia life begin at 40
Definition ya life begins at 40 naona wengi inatupiga chenga.
At 40 uwe tayari:
-Umejijenga kiuchumi.
-Una mazingira ya uhakika ya kulala
-Umemaliza swala zima la uzazi/kuzaa.
-Watoto wanaenda college huko, sio ndio unatafuta first born

At 40 unatakiwa uwe ume achieve goals zako zote/nyingi za maisha, sio wakati wa kusikilizia michongo tena.

Njoo kwetu sasa, Mungu atusaidie.
 
Uchawa ni mojawapo ya jambo lililokusaidia kurudi mstarini kwenye unafuu?
 
ni sahihi mkuu na inaumiza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…