UFUKARA UKIWA Early 30s SIO Poa, I am not sure if I was destined to live like this!

nimekupata mkuu
 
umefafanua vizuri mkuu
 
umeongea fact tupu
 
fufumajeusi tulia mtu wangu ukibugi tu hapo kwenye kufanya maamuzi utasota sana afu utaza kutafuta bahati maisha sio bahati. Fanya hivi....... 1. Kaa chini jiulize kitu ganii unaweza kufanya ambacho unaona hapo uliopo watu wanakihitaji. Hata kama hauna mtaji. 2. Jiulize je unaujunzi wa hicho kitu tayal au unahitaji kuongeza ujuzi. ukishajua nini hauna ndo azia hapo utapataje. Eg ujuzi flani including wa kilimo flan, ufugaji, biashara ya kitu flani. #weka malengo andika then Andika business plan ya hicho kitu mwanzo mwisho. Usifanye uzembe hapo andaa vizuri andiko lako. Kama unaweza mtafuta anajua au ukatumia AI Mwenyew. NB: USIKIMBULIE KUTAFUTA MTAJI WAKATI HATA BADO HAUNA UJUZI WA KITU AMBACHO UNATAFUTIA MTAJI UTAPOTEZA MDA NA PESA YAKO. SASA: Unaujuzi na malengo na andiko la biashara. What next. 1. unamishe? Kama hauna tafuta mishe kwaza ya kufanya yyto aslong as ni halali na unaiweza. 2. Ukipata mishe jibane sanaa kweny matumiz yako kama huna familia save 70%.... ya kipato. Lengo ni kukuza kupata mtaji. Wengi wanatufuta mtaji wakat hakuna malengo dhabiti wanaishia kula hiyo pesa/kuwa na natumiz yasiyo ya lazima eg. Kutoa pesa kirahisi au bata. 3. Sasa rudi kaaze kazi mjomba mfumo tayali upo. Narudia tena mtaji namba moja ni ujuzi. Ndg ni bora ukatumia nguvu nyingi kutafuta ujuzi kuliko kutafuta hiyo pesa ambayo itasepa tu maana huwezi kupaki ndani. Ujuzi utadumu na kukuletea pesa zaidi na zaidi. SUMMARY. 1 tafuta ujuzi kwaza 2. Weka malengo kwenye andiko na andaa business plan. NB usiplan kitu hauzi kufanya tafadhali au kina hitaji mtaji mkubwa utajikatisha tamaa mwenyew. 3. Tafuta mishe ya kufany kupata kiazio au kama una mtaji kidogo anzia hapo. Mkuu naku guarante utafanikiwa ukifanya hivi. Acha tamaa vitu vikubwa mitaji mikubwa, usidharau vitu vidogo, usikimbikie kutafuta pesa na kupuzia ujuzi utaishia kufanya kazi za watu na pesa huoni inaenda wapi. Pesa inategwa kutumia ujuzi mdogo tu watu wataleta pesa wao. Utazaa kuona una bahati maana Bible inasema bahati humpata kila mtu.
 
Janja!! Sisi tunatafuta Pepo tukatafune bikra 72. Nyinyi mna hangaika na Dunia.
 
Daaah nimesikitika
 
🤣🤣🤣🤣🤣 sicheki kama yanafurahisha ila ni huzuni.
 
Miaka 30 Kwa mfumo wetu wa Elimu, unakuta mtu ndiyo ametoka kuhitimu degree yake ya kwanza miaka 3 iliyopita

Hivyo unakuta umri huo wa 30 unakuta anatembea na bahasha kutafuta kazi

Neno la Faraja ni kwamba; Maisha huanza ukifika miaka 40

Kwahiyo umri wa kabla ya 40, sio wa kujipa stress manake ndiyo kwanza unakuwa kwenye utafutaji
 
noted braza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…