UFUKARA UKIWA Early 30s SIO Poa, I am not sure if I was destined to live like this!

Dom
dom kibiashara vp
 
MKUU,unayajua sana maisha,THERAPY ya kwanza kabisa ni kukubali makosa yako kisha kuishi kulingana na hali ya kipato ulichonacho
 
Una akili mingi sana
 
Kesho ni siku yangu ya kuzaliwa, ninacho zidi kujifunza kila kitu kina gharama ya kulipa.

Umaskini, average life, au hata hayo maisha bora lazima uyalipie ili upate thamani unayo hitaji.

Hapo kwenye gharama ya kulipa ndio kasheshe, uki changanya lazima hesabu zigeuke yenyewe ndio yakulipishe.
 
Ukiwaza umri na ulipo hujatoboa, utapanik bure na kupoteza ulicho nacho.
Ishi na kubari hapo ulipo na ule na kutumia kidogo cha faida ulichopata, usile mtaji.
Namaanisha hata wew unaweza jikopa endapo ukila mtaji na uhakikishe unairudishia. Mfano mim nina biashara mbili tofauti A na B nikichukua pesa kweny biashara B ili nikaizungushe kweny biashara A nikizungusha ntairudisha nikoitoa kama sio yangu vile. hapo najikopa.
hata pesa ulio nayo izalishe ule matunda.
kubari ulipo, pambana leo leo kesho ndo utagundua jana imekusogeza au lah.
na endelea kupambana hapopo ata kama umefeli tafta mbinu mpya ya unachokipambania, usipende kubadili kazi kila siku.

punguza kusaidia waambie hari harisi ndugu zako.

MWISHO
Usiku wa manane amka sari kwa imani sio kimazoea. Mwombe Mungu akupe kibari cha kusogea mbele kiuchumi na milango ya uchumi ikawe wazi. na vunja maagano ya kiroho na mwili yaliyonenwa juu yako na vifungo.
OGA NA MAJI YA CHUMVI bila sabun mara mojamoja.

utaona mambo yakifunguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…