Acha kusaidia kila kitu, infact: ni shilingi ngapi ambayo utaweza kutuma nyumbani monthly hadi mwisho wa uhai?
Usifikiri ukituma 600,000 ndio utakaa mwaka ndio utume 🤣
Kalabaghao!
Then:
Kuwa kichaa (sijafika, hata hivyo nami ndio mbinu zangu)
1. Nenda kwenye mji wenye mzunguko mkubwa wa pesa (kaa sehemu cheap, achana na kodi usiyoweza)
2. Amua kuuza ujuzi au bidhaa (ila iwe kitu scalable, yani unaweza supply hata watu 1000 minimum kwa mwezi)
3. JILIPUE mtandaoni - kuwa msafi, tafuta simu yenye camera ahueni, tengeneza content kama hauna maisha mengine (8 reels per day)
Jifunze style ipi inaleta wateja, kaa humo
Ili upate 10,000,000 kwa mwezi, unahitaji kuuza vitu 1000 kwa shilingi 10,000 kila kimoja, una ujuzi/bidhaa gani?