Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
Wewe Mwita wewe, fanya hima basi na kile kikosi cha sheria tuwashitaki hawa!!!! :glasses-nerdy:
Nimepata habari kwa habari kwa mtu wangu aliyepo uwanjani kuwa wanachama wenye hasira walitaka kuwashushia kibano waandishi wa TBC wakiongozwa na Marini Hassan waliopo uwanjani, lakini wakajitetea kuwa kuna tatizo la kiufundi limetokea na hivyo wanalifanyia kazi.
Hotuba zimesimama kwa muda kusubiria TBC warekebishe hilo tatizo, sasa sijui watasubiri kwa muda gani.
...marini hassan...si yule yule ..mpiga debe wa kiwete..atakuwa ndie amepokea maelekezo!!
Hujui ulisemalo! nani kakuambia Halima Mdee Muislamu? kasilimu lini? kwa taarifa yako ni msabato tena msabato masalia! Na huyu Anna Komu nae kasilimu lini? mgala na nguruwe anakula!
Get your facts right kabla kapayuka ovyo.
...marini hassan...si yule yule ..mpiga debe wa kiwete..atakuwa ndie amepokea maelekezo!!
madrassa al sul