Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

Baada ya Mbowe kuzungumza atamtambulisha mgombea mwenza then atazindua Ilani kabla ya mgombea Urais kusimama kuhutubia.Kopi za Ilani ziko hapa Jangwani kwa wingi na Makao Makuu.
 
Chadema ni kama Timu ya Hispania inakusanya kila Wachezaji Wazuri.

Wenzetu waliokuwa CCM, TLP, NCCR, CUF wote tumewapokea katika jeshi la Ukombozi
 
Wewe Mwita wewe, fanya hima basi na kile kikosi cha sheria tuwashitaki hawa!!!! :glasses-nerdy:

Steve, kikosi cha wanasheria Tunahitaji watu kama Tundu Lissu, Marando, Mtikila wawe kama kumi na 12 hivi, kuna jamaa 1 mzuri sana anitwa Alex Mgongolwa, ila yuko upande wa mafisadi, Inakuwa ngumu sana kuunda team nzuri ya ukweli, hata hawa TBC wamevunja sheria katika sheria za uchaguzi, ingefaa wakaunganishwa kwenye pingamizi la kumzuia kikwete kugombea urais tena!
 
Tumedanganyika kwa Muda Mrefu: umasikini wetu, Ujinga na Woga wetu umetufanya tushindwe kufanya maamuzi
 
Nimepata habari kwa habari kwa mtu wangu aliyepo uwanjani kuwa wanachama wenye hasira walitaka kuwashushia kibano waandishi wa TBC wakiongozwa na Marini Hassan waliopo uwanjani, lakini wakajitetea kuwa kuna tatizo la kiufundi limetokea na hivyo wanalifanyia kazi.

Hotuba zimesimama kwa muda kusubiria TBC warekebishe hilo tatizo, sasa sijui watasubiri kwa muda gani.

...marini hassan...si yule yule ..mpiga debe wa kiwete..atakuwa ndie amepokea maelekezo!!
 
Kila MTZ afanye maamuzi na ajiulize amefanya nini kwa faida ya taifa letu.

Kumekuwa na Kilio cha wananchi wengi kuwa Vyama Viungane. CHADAMA kimeonyesha kwa vitendo.

Tuna vyama 18. Nchi masikini kama hii tunafanya kazi ya siasa au ushabiki?

Tunatafuta chama makini kufanya nao kazi

Viongozi wa vyma vingi ni Mapandikizi

2010 Hatundanganyiki
 
Hujui ulisemalo! nani kakuambia Halima Mdee Muislamu? kasilimu lini? kwa taarifa yako ni msabato tena msabato masalia! Na huyu Anna Komu nae kasilimu lini? mgala na nguruwe anakula!

Get your facts right kabla kapayuka ovyo.

madrassa al sul
 
CCM kama platform ya ukweli tumejipanga sawasawa.
Na kama wanafikiri ni uongongo hatuhitaji mabilioni kwenda Ikulu. Tunahitaji tu Shs 100 ya kila Mtanzania
Si kama CCM walibeba watu toka Morogoro, Chalinze NK
 
kwa kukatisha kwao matangazo wanafanaya wananchi wazidi kuichukia serikali ya ccm
 
Watu wanasema kwa nini sikugombea?
Utafiti unaonyesha Mwanachadema mwenye uwezo kwa sasa wa Kuongoza Nchi na Kuunganisha watanzania wote wa Dini, kabila na Itikadi tofauti ni Dr. Slaa

Hatutaki pesa za Ufisadi
Rais JK anapata kigugumizi cha kuwashughulikia kwa kuwa na yeye aliingia kwa ufisadi
 
Tumezindua Kampeni ya SASA=Saidia Slaa Ashinde
Watapita wapiganaji na mifuko na Box, ukiwe na pesa yoyote weka
 
Hujui ulisemalo! nani kakuambia Halima Mdee Muislamu? kasilimu lini? kwa taarifa yako ni msabato tena msabato masalia! Na huyu Anna Komu nae kasilimu lini? mgala na nguruwe anakula!

Get your facts right kabla kapayuka ovyo.

Kwani nani anajua kuhusu Uislamu wako (if any cares at all)?Ungekuwa Muislam ungekuwa umefunga mwezi huu wa toba,na hata ukidanganya nafsi yako kuwa umefunga utakuwa mnafiki kwa vile mwezi huu wa toba ni wa kutubu dhambi na kufanya yaliyo mema.Sasa hizo chiki zako binafsi dhidi ya Slaa na Chadema zinaendanaje na mfungo?

Get your Uislam right kabla ya kuropoka ovyo ovyo!
 
Ni wangapi wako tayari . . . Uwanja wote wamenyoosha mikono.
Kila mwenye pesa ataoe kumsadia Slaa ashinde
 
Back
Top Bottom