Njia ya kuondokana na migongano ya Serikali ya Muungano ni kuwa na serikali 3 ambayo CHADEMA italeta
Mimi niko tayari na ninaweza. Naomba sana 31 Oct. tusifanye makosa. Tumchague Slaa awe Rais
Nawaachia SMethali: Mwana akuwae ndiye ashikwae
Kamaliza
Sasa Mbowe anakuja kumkaribisha Slaa
Anaendelea. . . .
WATZ tujue matatizo yetu na ni vipi tumefika hapa . . .
Sehemu ya Kwanza: Tatizo mama ni Ufisadi uliosababishwa na ubovu wa Vipongozi.
Hatua ya Kwanza ni kushughulikia Ufisadi na Uadilifu
Sasa Kamanda Slaa nakabidhiwa Nondo
Du! Hiki kikundi kimnachotumbuiza kama Komba vile wa TOT
Watu ni Nyomi saana