Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

Anawaelekeza Viongozi waweke utaratibu wa Kukusanya pesa
 
Akaunti inaitwa CHADEMA M4C yaani CHADEMA Movement For Change! Imetulia!
 
Kushiri SASA kuna Njoia Nne:
1. Muda wa Kutoa Sadaka kwenye Mikutano yote - Sadaka ya Ukombozi
2. Accounti 2 za Benki : CRDB Bank: CHADEMA M4C (Sadaka zinakusanywa)
A/c 01J1080100600; NMB: A/C CHADEMA: No. 2266600140
 
Kwa kupitia A/C unaweza kumchangia Dr. Slaa kuleta mabadiliko ya Kweli

3./4: Simu 15710 (Mara nyingi inahujumiwa sababu wanajua), kuna siku inafanya kazi na kuna siku haifanyi kazi:

TUMA NENO: CHADEMA Kwenda 15710
 
Kama unapenda mabadiliko Nchi hii Kunja Ngumi.
Askari msikunje Ngumi . . . Mmepigika kwanza inabidi tuwakomboe
Peopleees . . . wanajibu POWEEERRr . . . DSM Mnatania
Rusheni ngumi za Juu sana. Kuna viongozi wa Serikali Watapeleka salamu
Kunja Ngumi
PEOPLES POWER
PEOPLES POWER
PREOPLES POWER
2010 HATUDANGANYIKI

Du, Ni Noma kweli. Utafikiri Ascar wa CUBA/ VIETNAM
 
Askari, Usalama wa Taifa, Tume ya Uchaguzi . . . Habari Ndo Hiyo . . . .

Mh. MZEE sasa anapanda HJukwaani
 
Kwani nani anajua kuhusu Uislamu wako (if any cares at all)?Ungekuwa Muislam ungekuwa umefunga mwezi huu wa toba,na hata ukidanganya nafsi yako kuwa umefunga utakuwa mnafiki kwa vile mwezi huu wa toba ni wa kutubu dhambi na kufanya yaliyo mema.Sasa hizo chiki zako binafsi dhidi ya Slaa na Chadema zinaendanaje na mfungo?

Get your Uislam right kabla ya kuropoka ovyo ovyo!

acha kujibishana nae anachafua thread mfuate super man!! Ukikuta maelezo ya huyo unaskip! Ukipenda update ignore list! Mnakata stimu bana!
 
Sasa anaongea Mbowe na kamkaribisha mgombea mwenza, watu wametoa sadaka za kutosha kuchangia Slaa ashinde.TBC1 wanaonyesha.
 
Kwani nani anajua kuhusu Uislamu wako (if any cares at all)?Ungekuwa Muislam ungekuwa umefunga mwezi huu wa toba,na hata ukidanganya nafsi yako kuwa umefunga utakuwa mnafiki kwa vile mwezi huu wa toba ni wa kutubu dhambi na kufanya yaliyo mema.Sasa hizo chiki zako binafsi dhidi ya Slaa na Chadema zinaendanaje na mfungo?

Get your Uislam right kabla ya kuropoka ovyo ovyo!

Uislamu wangu anaujua muumba wa wangu. Kipi cha uongo katika pandiko langu? kusema Halima Mdee msabato? au Anna Komu mgala? au Dr Slaa Padri?

Get your ugala right kabla kuzungumzia uislamu wangu
 
Peoples power bwana,Mbowe nae anambwembwe anawaambia wanahabari kuwa habari ndo iyo na watu wote wanaambiwa wakunje ngumi alafu wanasema HATUDANGANYIKI
 
Mbowe bado . . . CHADEMA Ni Chama Makini. Kinafanya Utafiti
katika Taifa kuna wanaaluma waliopindukia. Walienda kufanya siasa wakachafua
Viongozi hawapimwi kwa elimu yao
Kama UK una waziri aliingoza vita ya 2 vya Dunia, mpaka leo anakumukwa
Kawawa, na viongozi wengine wengi.
Tumefanya utafiti ZNZ kuangalia anaweza kufanya nini?
Kuna uzoefu gani wa kufanya kazi Serikali ya Kifisadi.

Saidi Mzee amekuwa Kiongozi wa CHADEMA toka ianze. anaifahamu CHADEMA kinyume nyume
 
Du! Jamaa ana historia Nzuri ya Utiifu.

Ana Elimu ya Wastani lakini Mwadilifu. Kiingereza anajua.

Pia alitaja Abdul wakili hakuwa na elimu kubwa

Said Mzee anapanda sasa kabla Masine Kubwa haijapanda
 
Mh. Slaa. Mh. Mwenyekiti wa Taifa na Viongozi wa Chama na WATZ
Aslaam aleykum!
Anatoa shukrani
 
Ndugu zangu nimesikitika sana kuona TV yetu ya taifa pamoja na redio vinakatisha matangazo ya kampeni ya CHADEMA, kisa marando ametaja mafisadi. Nadhani inabidi wakuu wa TBC watambue kwamba hicho nichombo cha umma wote, si cha CCM kama wanavyoamini, na mishahara yao inatokana na kodi zetu bila kujali itikadi. Kama wakitunyima haki hiyo kuna haja ya kuitafuta kwa nguvu maana hakuna haki inayokuja kama lulu.
 
Mbowe ni bomba ya mhamasishaji, Watz wakielewa wakipunguza uvichwa ngumu,nchi inakomboleka hii.
 
Moyo ulioonyeshwa na wana DSM uendelee hadi siku ya kupiga Kura.
Mimi nimelelewa
Napenda kuchukua fursa hii kusema machache
Muungano wetu ni wa TZ na ZNZ
 
Back
Top Bottom