Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
</H2>Pax:Tatizo si uongozi pekee,tuwe wazi,kubadili utawala bila kubadili fikra bado kunaturudisha pale pale!We have a problem within our own heads kama raia.Si kila lawama kwa serikali!HTML:[IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.gif[/IMG] Re: Ilani ya CHADEEMA na mapungufu yake katika tafsiri ya ufisadi [/B] We are the cause of our own sufferings. Tumepewa akili ya kufikiri hatutaki kuzitumia. Nini chanzo cha UMASIKINI wa Tanzania kama sio uongozi mbovu wa serikali zilizokuwa madarakani miaka yote hii? Illiteracy ni 30% kwa sababu gani? Vifo vya kina mama wajawazito 550/100,000 kwa nini? Mbona Chile sio matajiri kihivyo lakini wananchi wake wanaishi miaka 80-90 sawasawa na Marekani iliyo mbali mno kiuchumi? Kenya wakati wa Uhuru ilikuwa sawa na South Korea, leo tofauti unaionaje? nini tatizo kama sio utawala mbovu? Afadhali hata wao waliishitukia KANU mapema wakaipiga chini, kuliko sisi huku tunaozungumza upuuzi kufurahisha midomo yetu. Kuna watu humu wanaandika rubbish, rubbish tu wanafikiri watu wote humu wanafikiri ka wanavyofikiri wao. Tatizo la TANZANIA NI UONGOZI, kama ni Resources tunazo hamna mfano lakini ubovu wa viongozi wetu wengi hawajui kufikiri wanashindwa kuzitumia. Watu mu argue mkijua kuna watu wanaofikiri humu msidhani mnaongea wa wacheza ngoma.
Hapana, kiini cha tatizo letu ni uongozi wa juu usiokuwa na nidhamu na unaoendekeza rushwa. Hao ndio wanaofanya raia wetu pia wawe wasiwe wanafikiria mbali zaidi ya njia za mkatomkato kama kusubiri msaada au kukata dili la uwani. Ukishajenga uongozi usio-promote njia za mikato hata raia watabadilika mawazo.