Ufunuo: Ninafadhaika Kuona kwamba Mtu mwingine anaenda kupotezwa

Smartkahn

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
1,028
Reaction score
1,790
Ipi hivi wakuu kuna kuanzi mimi mwenyewe au mtu mwingine, kutakua na watu wawili watasaidiana katika kutekeleza unyama/ukatili dhidi ya haki ya binadamu kuishi.

Mtu huyo kimuonekano ni anaafya njema sana na nikama alikua na maisha mazuri na pengine hakua akiishi nchini bali nchi zenye uchumi mzuri sana(kama vile USA, UK, CANADA etc).

Tukio linaweza kutokea kuanzia usiku wa tarehe 1-9-2026, 00:00AM na kuendelea.

Ikiwezekana hila hii ya kishetani imuepuke Amen.
 
Ipi hivi wakuu kuna kuanzi mimi mwenyewe au mtu mwingine, kutakua na watu wawili watasaidiana katika kutekeleza unyama/ukatili dhidi ya haki ya binadamu kuishi... Kuua.

Mtu huyo kimuonekano ni anaafya njema sana na nikama alikua na maisha mazuri na pengine hakua akiishi nchini bali nchi zenye uchumi mzuri sana(kama vile USA, UK, CANADA etc).

Tukio linaweza kutokea kuanzia usiku wa tarehe 1-9-2026, 00:00 na kuendelea.

Ikiwezekana hila hii ya kishetani imuepuke Amen.
Huu uganga na upiga ramli wa jf Muasisi ni britanicca
 
Ipi hivi wakuu kuna kuanzi mimi mwenyewe au mtu mwingine, kutakua na watu wawili watasaidiana katika kutekeleza unyama/ukatili dhidi ya haki ya binadamu kuishi.

Mtu huyo kimuonekano ni anaafya njema sana na nikama alikua na maisha mazuri na pengine hakua akiishi nchini bali nchi zenye uchumi mzuri sana(kama vile USA, UK, CANADA etc).

Tukio linaweza kutokea kuanzia usiku wa tarehe 1-9-2026, 00:00AM na kuendelea.

Ikiwezekana hila hii ya kishetani imuepuke Amen.
Mungu anampenda sana
 
Asije akawa yule jamaa wa leo sema mwamba naye anajua mamba atafuna halafu yeye anampa mkono tena mamba. Mamba atakutafuna tuu
 
Back
Top Bottom