Mkuu mtaje jina buana ajue namna yakujiokoa katika mtihani huoIpi hivi wakuu kuna kuanzi mimi mwenyewe au mtu mwingine, kutakua na watu wawili watasaidiana katika kutekeleza unyama/ukatili dhidi ya haki ya binadamu kuishi.
Mtu huyo kimuonekano ni anaafya njema sana na nikama alikua na maisha mazuri na pengine hakua akiishi nchini bali nchi zenye uchumi mzuri sana(kama vile USA, UK, CANADA etc).
Tukio linaweza kutokea kuanzia usiku wa tarehe 1-9-2026, 00:00AM na kuendelea.
Ikiwezekana hila hii ya kishetani imuepuke Amen.
................kama vile USA, UK, CANADA etc)
duuhIpi hivi wakuu kuna kuanzi mimi mwenyewe au mtu mwingine, kutakua na watu wawili watasaidiana katika kutekeleza unyama/ukatili dhidi ya haki ya binadamu kuishi.
Mtu huyo kimuonekano ni anaafya njema sana na nikama alikua na maisha mazuri na pengine hakua akiishi nchini bali nchi zenye uchumi mzuri sana(kama vile USA, UK, CANADA etc).
Tukio linaweza kutokea kuanzia usiku wa tarehe 1-9-2026, 00:00AM na kuendelea.
Ikiwezekana hila hii ya kishetani imuepuke Amen.
enhIpi hivi wakuu kuna kuanzi mimi mwenyewe au mtu mwingine, kutakua na watu wawili watasaidiana katika kutekeleza unyama/ukatili dhidi ya haki ya binadamu kuishi.
Mtu huyo kimuonekano ni anaafya njema sana na nikama alikua na maisha mazuri na pengine hakua akiishi nchini bali nchi zenye uchumi mzuri sana(kama vile USA, UK, CANADA etc).
Tukio linaweza kutokea kuanzia usiku wa tarehe 1-9-2026, 00:00AM na kuendelea.
Ikiwezekana hila hii ya kishetani imuepuke Amen.
Mkuu mtaje jina buana ajue namna yakujiokoa katika mtihani huo
Km ni Malissa si umsanue tu, ili mwana akae kimasta.
Etc/nkSiioni Canada hapo mkuu!
- 2016–2021: Balozi wa Tanzania nchini Brazil, mwenye makao Brasília.
- 2022–2023: Balozi wa Tanzania nchini Misri, mwenye makao Cairo
Hivi Emma yuko wapi jamani yule baba nampendaga tu yeye na lisauti lake lizuurii la kiume.....uchawa ukamshinda