Huu uganga na upiga ramli wa jf Muasisi ni britaniccaIpi hivi wakuu kuna kuanzi mimi mwenyewe au mtu mwingine, kutakua na watu wawili watasaidiana katika kutekeleza unyama/ukatili dhidi ya haki ya binadamu kuishi... Kuua.
Mtu huyo kimuonekano ni anaafya njema sana na nikama alikua na maisha mazuri na pengine hakua akiishi nchini bali nchi zenye uchumi mzuri sana(kama vile USA, UK, CANADA etc).
Tukio linaweza kutokea kuanzia usiku wa tarehe 1-9-2026, 00:00 na kuendelea.
Ikiwezekana hila hii ya kishetani imuepuke Amen.
Huyu jamaa namuamini taarifa zake.Mtaje jina ili achukue tahadhari mapema. Kinyume na hapo, wachache ndiyo watakuamini.
Kuna taarifa na kuna ufunuo...Huu uganga na upiga ramli wa jf Muasisi ni britanicca
Nipe linkHuyu jamaa siyo wa kumpuuzia.
Alileta clue za kilichotokea kwa Ema.
Sijui safari hii wanaenda kumpoteza nani?
Mungu anampenda sanaIpi hivi wakuu kuna kuanzi mimi mwenyewe au mtu mwingine, kutakua na watu wawili watasaidiana katika kutekeleza unyama/ukatili dhidi ya haki ya binadamu kuishi.
Mtu huyo kimuonekano ni anaafya njema sana na nikama alikua na maisha mazuri na pengine hakua akiishi nchini bali nchi zenye uchumi mzuri sana(kama vile USA, UK, CANADA etc).
Tukio linaweza kutokea kuanzia usiku wa tarehe 1-9-2026, 00:00AM na kuendelea.
Ikiwezekana hila hii ya kishetani imuepuke Amen.
Kweli kaka.Itapendeza kama halitatimia mkuu
Hivi Emma yuko wapi jamani yule baba nampendaga tu yeye na lisauti lake lizuurii la kiume.....uchawa ukamshindaHuyu jamaa siyo wa kumpuuzia.
Alileta clue za kilichotokea kwa Ema.
Sijui safari hii wanaenda kumpoteza nani?