Ufunuo: Ninafadhaika Kuona kwamba Mtu mwingine anaenda kupotezwa

Mkuu mtaje jina buana ajue namna yakujiokoa katika mtihani huo
 
duuh
 
enh
 
Ufunuo unakuwaga na code ngumu sana, hii habari unavyiona hapo ndio nimeifungua code... Nikajua ni mtu atauliwa ila siwezi kujua ni nani, kutokana na mambo mengi na mengine siyajui kiundani hivyo nashindwa kuhusianisha.

Nikama zile ndoto za pharaoh na Yusuph... Ndoto na tafsiri yake haviendani kabisa... Ng'ombe na masuke 7---miaka ya neena na dhiki.

Hivyo huyo mtu simjui jmn.
Mkuu mtaje jina buana ajue namna yakujiokoa katika mtihani huo

Km ni Malissa si umsanue tu, ili mwana akae kimasta.
 
  • 2016–2021: Balozi wa Tanzania nchini Brazil, mwenye makao Brasília.
  • 2022–2023: Balozi wa Tanzania nchini Misri, mwenye makao Cairo
Siioni Canada hapo mkuu!
Etc/nk

Inaonekana anaafya njema, ni mboga saba au wakishua flani hivi au hana dhiki chakula chake hakipati kwa jasho...

Wakati na-compose hii reply kuna wazo limenijia... ambalo ni wale watumishi wa dini askofu, wachungaji, manabii nao pia wasali sana.
 
Kuna uwezekano Hon resigner presidizo msaidizi, ameuawa au atauawa, kama sio basi wamuachie au watuletee atusalimie na kutuaga tumuone live hadharani.

Akisipo tokea hadharani tutahesabu miezi hadi tunamsahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…