Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Ukisoma Buddhism au Krishna au confiscious wana volumes and volumes za vitabu kila kitu kimechambuliwa kwa undani sana
 
Nimekupata sana hebu tafuta mabandiko ya sex meditation utagundua kuwa ngono ni zaidi ya kukutana kimwili
 
Mhm hapa napo sijaelewa labda, majini wema? Ndiyo kama wepi hao mkuu?
katika Quran.mwenyezi Mungu anakiri kuwa hakuwaumba majini na binadamu isipokua wamwabudu...

hivyo unapata kujua ni wajibu wa jini lolote kumuabudu MUNGU..kuna wanaofuata sheria za MUNGU na kuna walio waasi.wapo kama binadamu.kunao wema na wabaya
 
Lilith ni nini tena, sina upeo wa theology, ila umenichanganya kiasi cha kwamba imani yangu ni kwamba kitabu cha mwanzo (Genesis) ni mambo ya kufikirika. Mimi napapambana na hali yangu siangalii makunyanzi
 
Kwa imani zetu hizi lakini
Siyo kwa imani tu, kwanza kuamini bila kufuatilia kiundani ni vibaya. The truth is what sets you free na kuogopa kufuatilia kiundani unachokijua unaweza kumaanisha pia kuwa unaamini kuna uwezekano kisiwe the truth.

Anyway, kama Lilith angekua hayo wasemayo tungejua kwasababu critics wa Biblia na historians wa sasa walivyoendelea wasingeiacha hiyo mada unattended. If they take it for granted, its because it is just that, something to be taken for granted!
 
Mkuu unadai mwanzo 1:27 imejaribu kuonesha ya kwamba waliumbwa wawili kwa pamoja lakini hapa nimeamua nisome mwanza mpaka mlango 3.

Si kweli kwababu ukisoma vizuri utaelewa, Kama Ni hivyo basi ingebidi mdai hata Adam alikuwa mwanaume wa pili kuumbwa
Maana ukisoma mwanzo 1:
Na mwano 2: yote utaelewa visa vya kwenye biblia vimeandikwa kwa mtindo wa kurejea.
 
Unatakiwa uonyeshe panaposema Lilith brother, kama ni "Her" tu it could be anything, hata Jezebel!
Ok nimeshajua tatizo liko wapi... Nadhani pia unaweza kuwa na shida na kiingereza kidogo... Sorry kama nitakuwa nimekukwaza.. Huko juu nimeandika kuwa Lilith ana majina mengi na mojawapo ya majina yake hapo ni night monster na screech owl...

Kwahiyo hakukuwa na haja tena ya kumtaja
 
Brother, kwenye kujua tatizo liko wapi una F! Kuhusu kiingereza: Here is the logic - do the writings in the Bible predate the document you presented with the story about Lilith? If they do, then it could not have possibly been written with reference to Lilith. Someone could have very well added the names to the Lilith tale later, that is, after the Bible, to give it validity.

And if Lilith was at all so significant that at that point in time Isaiah felt it was not necessary to reference her by name but her alias, we would have been presented her story in the Bible to grant us that much familiarity, at least in Isaiah. It's why I said she is possibly part of the Jewish folk tales!
 
Adam bhana kwahyo akamwagwa na Lilith na baadae akapigiwa EVE akamzaa CAIN.Haya mambo ya kuchapiwa yameanza kitambo sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante kwa kiingereza kizuri kumbe sasa tatizo sio lugha ni uelewa... Ukinisoma nimesema sehemu pekee alipotajwa Lilith kwenye Biblia ni kwenye hilo andiko na hatajwi kwa jina lake halisi bali kwa majina yake mengine
Kuhusu kupata F ya kiingereza no comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…