THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Hiyo no 6 ..lazima kushindanisha??
Rais anaweza ona kampuni ipi sahihi...
Tulikuwa vitani na kina nani ?..tulipigania nini ?...Wengi hawaelewi kwamba hii ni reparation, tulikuwa vitani tumeshindwa, anayeshindwa analipwa reparation
Tulikuwa vitani na kina nani ?..tulipigania nini ?...
Kama walioshindwa wanalipwa reparation na washindi wanapatiwa nini ?
Mwavuli wako wa 'udini' na chuki zako binafsi kwa Pengo haziwezi kuuzika huu mjadala kirahisi hivyo, jibuni maswali/hoja za raia wenzenu....acheni mbambamba.Ni wale wale akina PENGO tuh hawa,Leo wamepewa uhuru wa kuhoji na kumkosoa prezoo basi wanajiona wanajua Kila Kitu,Urais ni Taasisi kubwa na kama bandari imeonekana Haina ufanisi na majiz yanabadili mbinu kila kukicha iweje tusite kushirikisha wataalam Zaid yetu??
Samia aendelee kupiga kazi,aachane na hizi kelele za watu wenye Njaa
Unalipa kisasi kwa kutofuata utaratibu. You can't therefore differentiate the two. Magufuli and Samia. Ni Marais wasiofuata taratibu za Nchi.
Mwavuli wako wa 'udini' na chuki zako binafsi kwa Pengo haziwezi kuuzika huu mjadala kirahisi hivyo, jibuni maswali/hoja za raia wenzenu....acheni mbambamba.
Mwarabu mzungu na mchina wamembana sawasawa hasa kuondoa tegemeo na kiburi chake Cha kutegemea mafuta Sasa magari yanatengenezwa ya umeme, maana yake miaka ijayo wasipojiongeza watspukutika hivyo wana advance kuja huku gizani
Inawezekana pia watu flani wanapinga hii neema kwasababu tu sio wazungu na sio wa dini flani ?Let's be honest. Watu fulani wanashabikia huu upuuzi kwa sababu tu ni Waarabu na walengwa wa dini fulani.
Kumuita mtu kafiri tayari ni chuki tosha.Mimi PENGO nimchukie anasaidie nin kafiri yule,Zaid Zaid Mimi namuonea huruma tuh sababu kwangu Mimi yule ni kuni tuh,unless otherwise apate uongofu,hakuna hoja ya kujibu hapo,
Hoja zinajibiwa bungeni,hapa JF ni soga tuh,maana watu wenyew hata kuandamana kutetea hiki mnachokisema hamuwezi sasa nani atasikiliza watu msiojua kitu mnachokisimamia??
Kwa katiba hii, rais anaweza kupitisha chochote, na asifanywe chochote. Na ikifika wakati wa uchaguzi anapanga atangazwe mshindi kwa kura ngapi.Ina maana Rais ana mamlaka hayo ya kuchagua anachoona kinafaa hata kama utaratibu unahitaji ushindani uwepo ?...
mnaharibu hii nchi kwa kulimbikiza kila mamlaka kwa mtu mmoja.
Maamuzi ya kisiasa ndiyo yanaua biashara Tanzania, mimi nina ubunifu wangu kwanini biashara zinakufa na nini kifanyike, (intellectual property).Na. M. M. Mwanakijiji
Sababu zinazotolewa za mkataba wa bandari:
1. Imekuwa ikiendeswa bila ufanisi (na bado tukawa tunawalipa mishahara)
2. Tunapoteza sana hela (miaka yote hili linajulikana)
3. Hatuna vifaa vya kisasa (kwani vifaa vinashushwa toka mbinguni?)
4. Hatuna watendaji wenye utaalamu (na madigrii yote ya kozi zote za kujiendeleza kote?)
5. Kampuni ya TICTS imeshindwa kwa miaka yote hii (na bado tukawaacha na kuwaongezea tena muda?)
6. DP Wana Uwezo Mkubwa wa kuendesha Bandari (kampuni gani nyingine ya kimataifa tulizungumza nao na kusikia wana tuoffer nini).
Tatizo jingine tunapenda kuchanganya mno hoja hata zisizohusiana na hoja ya msingi. Tuzitoe hizi hoja nyingine.
1. Hakuna Tanganyika; sijui ni kina nani wanazungumzia. Hadi hivi sasa hakuna nchi au taifa la Tanganyika. Hivyo Tanganyika haimo kwenye mjadala.
2. Hakuna hoja ya Uarabu hapa; DP World inatakiwa kupimwa kwa uwezo na weledi wake; siyo kwa sababu inatoka UAE. Huku ni kujiona duni. Kama tunawakaribisha kwa sababu ni Waarabu basi viongozi wetu wana matatizo makubwa zaidi kichwani...
3. Ongeza za kwako..
Tujikite kwenye hoja... tuache vihoja!
Kwa hiyo ww hupingi kwakuwa ni waarabu na ni wa dini fulani?Inawezekana pia watu flani wanapinga hii neema kwasababu tu sio wazungu na sio wa dini flani ?
Let's be more honest lakini
Mwarabu hajawahi kuwa na huruma na mwafrika. Yeye kiboko yake anayemwogopa kama Simba ni mzungu . Hata mikataba aliyoingia na wazungu ni tofauti kabisa anavyofanya na nchi za kiafrika. Wakati wazungu Sasa hivi wamegeuka kuwa wapagani wasio na time na dini, mwarabu yeye kumekucha popote alipo anawaza kueneza dini yake na kichwani ana mpango wa muda mrefu akiamini dunia itakuwa dini yake hivyo misaada yake mikubwa ilalenga hukohukoAkili za parokia hizo,nani kakuambia solo la mafuta ni kwenye magari tuh..??
Na kuna watu wanapinga kwasababu tu hao DPW ni ya waarabu na pia ni wa dini fulani,Let's be honest. Watu fulani wanashabikia huu upuuzi kwa sababu tu ni Waarabu na walengwa wa dini fulani.
Nani ana huruma na mwafrika? Mzungu?Mwarabu hajawahi kuwa na huruma na mwafrika. Yeye kiboko yake anayemwogopa kama Simba ni mzungu . Hata mikataba aliyoingia na wazungu ni tofauti kabisa anavyofanya na nchi za kiafrika. Wakati wazungu Sasa hivi wamegeuka kuwa wapagani wasio na time na dini, mwarabu yeye kumekucha popote alipo anawaza kueneza dini yake na kichwani ana mpango wa muda mrefu akiamini dunia itakuwa dini yake hivyo misaada yake mikubwa ilalenga hukohuko
Mwarabu hajawahi kuwa na huruma na mwafrika. Yeye kiboko yake anayemwogopa kama Simba ni mzungu . Hata mikataba aliyoingia na wazungu ni tofauti kabisa anavyofanya na nchi za kiafrika. Wakati wazungu Sasa hivi wamegeuka kuwa wapagani wasio na time na dini, mwarabu yeye kumekucha popote alipo anawaza kueneza dini yake na kichwani ana mpango wa muda mrefu akiamini dunia itakuwa dini yake hivyo misaada yake mikubwa ilalenga hukohuko
Mwarabu katumia natural resource ya Oil na Gesi tu kufika hapo alipo,wewe unakila aina ya natural resources halafu eti unamdhihaki mwarabu! Unaendeshwa na chuki kwa speed sana mpaka akili zako umeziacha nyuma.waarabu walicho tushida kujenga misiki na kukataza haramu .ukiona unapingwa msaafu unasema wao ndio bora
Parokia noma sana,na wamebrainwash kabisa na kuwafanya waamin waliowafanya mababu zetu kuwa watumwa during slave trade ni waarabu,ukiwauliza kama ni hivyo mbona blacks wengi wapo ulaya na america na siyo uarabun shida iko wapi?wanawaongopea kuwa eti Huko uarabun waliasiwa, that's why wanaona wazungu kama lulu kwaoNani ana huruma na mwafrika? Mzungu?
Angalau mzungu hujenga shule na hospitali, mwarabu kwenye mradi wake C.S.R. hupeleka kujenga msikiti tuu ,kupanda mitende na minazi hapo kamalizaNani ana huruma na mwafrika? Mzungu?