Ufyatu 100%: Sababu zinazotolewa hazina mantiki au mantiki hazina sababu?

Ufyatu 100%: Sababu zinazotolewa hazina mantiki au mantiki hazina sababu?

Hiyo no 6 ..lazima kushindanisha??
Rais anaweza ona kampuni ipi sahihi...

Ni wale wale akina PENGO tuh hawa,Leo wamepewa uhuru wa kuhoji na kumkosoa prezoo basi wanajiona wanajua Kila Kitu,Urais ni Taasisi kubwa na kama bandari imeonekana Haina ufanisi na majiz yanabadili mbinu kila kukicha iweje tusite kushirikisha wataalam Zaid yetu??

Samia aendelee kupiga kazi,aachane na hizi kelele za watu wenye Njaa
 
Tulikuwa vitani na kina nani ?..tulipigania nini ?...

Kama walioshindwa wanalipwa reparation na washindi wanapatiwa nini ?

Washindi ndiyo hulipwa reparations, aliyeshindwa hulipa, ni kawaida Duniani kote, unafikiri kwa nini Ufaransa anayadai Makoloni yake ya Afrika mpaka leo hii na wanalipa kwa infrastructure alizozijenga wakati wa ukoloni?
 
Ni wale wale akina PENGO tuh hawa,Leo wamepewa uhuru wa kuhoji na kumkosoa prezoo basi wanajiona wanajua Kila Kitu,Urais ni Taasisi kubwa na kama bandari imeonekana Haina ufanisi na majiz yanabadili mbinu kila kukicha iweje tusite kushirikisha wataalam Zaid yetu??

Samia aendelee kupiga kazi,aachane na hizi kelele za watu wenye Njaa
Mwavuli wako wa 'udini' na chuki zako binafsi kwa Pengo haziwezi kuuzika huu mjadala kirahisi hivyo, jibuni maswali/hoja za raia wenzenu....acheni mbambamba.
 
Unalipa kisasi kwa kutofuata utaratibu. You can't therefore differentiate the two. Magufuli and Samia. Ni Marais wasiofuata taratibu za Nchi.

Sasa kama Magufuli alikuwa hafuati taratibu za nchi ulikuwa wapi kumkosoa??

SI mlitulia kimya ili dawa iingie,Kosa la samia liko wapi,angekuwa anataka kuficha aende kimya kimya angeshirikisha bunge??

Wezi tuh ndo watataka wabakie waendelee kutuibia pale bandarin,Samia piga kazi achana na ma.fala wasiojitambua
 
Mwarabu mzungu na mchina wamembana sawasawa hasa kuondoa tegemeo na kiburi chake Cha kutegemea mafuta Sasa magari yanatengenezwa ya umeme, maana yake miaka ijayo wasipojiongeza watspukutika hivyo wana advance kuja huku gizani
 
Mwavuli wako wa 'udini' na chuki zako binafsi kwa Pengo haziwezi kuuzika huu mjadala kirahisi hivyo, jibuni maswali/hoja za raia wenzenu....acheni mbambamba.

Mimi PENGO nimchukie anasaidie nin kafiri yule,Zaid Zaid Mimi namuonea huruma tuh sababu kwangu Mimi yule ni kuni tuh,unless otherwise apate uongofu,hakuna hoja ya kujibu hapo,

Hoja zinajibiwa bungeni,hapa JF ni soga tuh,maana watu wenyew hata kuandamana kutetea hiki mnachokisema hamuwezi sasa nani atasikiliza watu msiojua kitu mnachokisimamia??
 
Kumuita mtu kafiri tayari ni chuki tosha.

sasa kama hatujui tunachokisimamia mbona mnatujibu kwa ukali kiasi hicho mpaka kukamata walioandamana ? si mtupuuze tu?
 
Ina maana Rais ana mamlaka hayo ya kuchagua anachoona kinafaa hata kama utaratibu unahitaji ushindani uwepo ?...

mnaharibu hii nchi kwa kulimbikiza kila mamlaka kwa mtu mmoja.
Kwa katiba hii, rais anaweza kupitisha chochote, na asifanywe chochote. Na ikifika wakati wa uchaguzi anapanga atangazwe mshindi kwa kura ngapi.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Sababu zinazotolewa za mkataba wa bandari:

1. Imekuwa ikiendeswa bila ufanisi (na bado tukawa tunawalipa mishahara)
2. Tunapoteza sana hela (miaka yote hili linajulikana)
3. Hatuna vifaa vya kisasa (kwani vifaa vinashushwa toka mbinguni?)
4. Hatuna watendaji wenye utaalamu (na madigrii yote ya kozi zote za kujiendeleza kote?)
5. Kampuni ya TICTS imeshindwa kwa miaka yote hii (na bado tukawaacha na kuwaongezea tena muda?)
6. DP Wana Uwezo Mkubwa wa kuendesha Bandari (kampuni gani nyingine ya kimataifa tulizungumza nao na kusikia wana tuoffer nini).

Tatizo jingine tunapenda kuchanganya mno hoja hata zisizohusiana na hoja ya msingi. Tuzitoe hizi hoja nyingine.

1. Hakuna Tanganyika; sijui ni kina nani wanazungumzia. Hadi hivi sasa hakuna nchi au taifa la Tanganyika. Hivyo Tanganyika haimo kwenye mjadala.
2. Hakuna hoja ya Uarabu hapa; DP World inatakiwa kupimwa kwa uwezo na weledi wake; siyo kwa sababu inatoka UAE. Huku ni kujiona duni. Kama tunawakaribisha kwa sababu ni Waarabu basi viongozi wetu wana matatizo makubwa zaidi kichwani...
3. Ongeza za kwako..

Tujikite kwenye hoja... tuache vihoja!
Maamuzi ya kisiasa ndiyo yanaua biashara Tanzania, mimi nina ubunifu wangu kwanini biashara zinakufa na nini kifanyike, (intellectual property).
 
Akili za parokia hizo,nani kakuambia solo la mafuta ni kwenye magari tuh..??
Mwarabu hajawahi kuwa na huruma na mwafrika. Yeye kiboko yake anayemwogopa kama Simba ni mzungu . Hata mikataba aliyoingia na wazungu ni tofauti kabisa anavyofanya na nchi za kiafrika. Wakati wazungu Sasa hivi wamegeuka kuwa wapagani wasio na time na dini, mwarabu yeye kumekucha popote alipo anawaza kueneza dini yake na kichwani ana mpango wa muda mrefu akiamini dunia itakuwa dini yake hivyo misaada yake mikubwa ilalenga hukohuko
 
Nani ana huruma na mwafrika? Mzungu?
 
That's why nakuambia hizo ni akili za parokia,mwarabu gan ambae amejikita katika kueneza dini dunia ya Leo??huko ulaya ambako maelfu Kwa mamilion wanazikimbia dini zao na kukimbilia uislam unadhan ni sababu ya mwarabu kueneza dini??as time goes watu wanautambua ukweli na kuufuata,hakuna mwarabu anatoa misaada ili aeneze dini umeskia ni agents of colonialism wale kama wamission??usichokujia hata Kwa hao waarabu wapo wakristo vile vile Tena wengi tuh,parokian huko mnaangopewa kuwa Kila muarabu Basi ni muislam
 
waarabu walicho tushida kujenga misiki na kukataza haramu .ukiona unapingwa msaafu unasema wao ndio bora
Mwarabu katumia natural resource ya Oil na Gesi tu kufika hapo alipo,wewe unakila aina ya natural resources halafu eti unamdhihaki mwarabu! Unaendeshwa na chuki kwa speed sana mpaka akili zako umeziacha nyuma.
 
Nani ana huruma na mwafrika? Mzungu?
Parokia noma sana,na wamebrainwash kabisa na kuwafanya waamin waliowafanya mababu zetu kuwa watumwa during slave trade ni waarabu,ukiwauliza kama ni hivyo mbona blacks wengi wapo ulaya na america na siyo uarabun shida iko wapi?wanawaongopea kuwa eti Huko uarabun waliasiwa, that's why wanaona wazungu kama lulu kwao
 
Back
Top Bottom