Ufyatu 100%: Sababu zinazotolewa hazina mantiki au mantiki hazina sababu?

Uko sahihi kabisa, mimi kama mimi sintomuunga mkono yoyote akimkosoa Samia, iwapo alikalia kimya madhila ya Magufuli kwa wengine. Hata aje na hoja nzuri kiasi gani, kama alikuwa upande wa dhalimu atabaki na hoja yake.
 
Angalau mzungu hujenga shule na hospitali, mwarabu kwenye mradi wake C.S.R. hupeleka kujenga msikiti tuu ,kupanda mitende na minazi hapo kamaliza

Shule zipi mzungu amekujengea kwenye miradi yake kama corporate social responsibility?tutajie mradi japo mmoja tuh,it's a shame unamtetea mtu ambae aliwageuza mababu zako kama slaves Kwa mamilion ya miaka eti Leo umuone hero...!!no wonder hata kanisani mmewekewa lile sanamu la kizungu Kisha mnaambiwa muliite mungu mara mtoto wa Mungu,eti kafa Kwa AJILI ya dhambi zako,nyieeee...??!! mzungu afe Kwa AJILI ya dhambi zako,,,we uliskia wapi
 
Kwa hiyo ww hupingi kwakuwa ni waarabu na ni wa dini fulani?
Kwa namna yeyote mimi sipingi, bandarini napajua ndani nje, na harakati zote nazijua, kwa kweli tunahitaji uwekezaji mkubwa, muhimu tu kama kuna mapungufu tumeyaona yarekebishwe, tukubaliane kwa maslahi ya taifa
Kupinga au kukubali kishabiki sikubaliani nako
 
Rais katudharau mno.

Pamoja na kutuingiza kwenye kadhia yote hiyo bado tu kakaa kimya.
 
Waarabu wakiwajengea shule na hospitali mnasema magaidi, wanakuja mpaka wazungu kutoka UN huko ati kukamata magaidi, acheni double standard

Wanachotaka hao ni kujengewa shule na wazungu Kisha waambiwe masharti ni watoto wenu wawe macho.ko hapo ndipo wanafurahi,hovyo kbs hao
 
Mimi napinga unafiki
Wale waliokuwa wanamkosoa Magufuli...kina Tundu Lissu, Mbowe na Bagonza hutaniona kabisa nawashambulia...why?angalau wao walithibitisha kuwa wanamkosoa yeyote Yule aliepo madarakani...hata kama sikubaliani nao hoja siwezi waambia kaeni kimya...since hawakukaa kimyaa wakati wa Magufuli...
Hawa kina Pengo, Mwanakijiji, Slaa, Tibaijuka na wanafiki wengine lazima tuwavue nguo kila mara wanaponyanyua midomo yao....
Unafiki na kuchagua nani umkosoe sababu ya dini ni kitu kibaya zaidi kuliko mikataba mibovu
 
Jikite kwenye hoja, punguza uchawa. Katiba ya JMT ipo outdated, imempa Rais mamlaka ya Ki-Mungu. National Wealth Resources ( Permanent Sovereign) Act ya 2017 ( Revised ) ina-limit baadhi ya resources kuwa controlled na foreign territory. Hii issue ya bandari ipo sensitive sana, ilihitaji ushirikishwaji wa stakeholders wote including the public at large siyo kuwaachia wabunge wa CCM tu watuamlie tena kwa maslahi ya matumbo yao.
Umemuongelea mwendazake ( Magufuli ) kufanya maamuzi ya kujenga JNHP na kuchagua mzabuni wa kujenga SGR kwa utashi wake lakini hakufanya maamuzi ya kubinafisisha rasilimali za nchi kama huyu Bi-Tozo alivyoamua kubinafisisha rasilimali za watanzania kwa maslahi yake binafsi na genge lake. Kwa mfano, wale wamasai kuondolewa kule Loliondo unaona ni sawa? Bandari zote nchini kupewa waarabu ni sawa? Haya yote yamefanyika kwa sababu ya udhaifu wa katiba ya JMT.
 
Sioni tofauti yako na hao unaojifanya kuwavua nguo. Unafanya hicho hicho walichofanya.
 
Hoja yake nayo vipi? Imeumbuliwa?

Samia akiona hivi anaenda kutia saini mkataba mwingine wa kuuzwa huko uarabuni maana hamna akili
Acha akatie tu, maana hata bunge la dhalimu limeshindwa kuzuia. Hakuna kuunga hoja ya mnafiki yoyote maana ndio wamechangia kutufikisha hapa.
 

Exactly.
 
Sioni tofauti yako na hao unaojifanya kuwavua nguo. Unafanya hicho hicho walichofanya.
Unaweza usione tofauti..Kwa sababu unaamini moyoni mwako "nchi inauzwa"...
Na kuna watu "unawaamini"wamekuaminisha hivyo..

Mimi naamini serikali iko sahihi na kama kuna makosa ni ya kibinadaamu na yanarekebishika..
Hayastahili kuleta zogo la kumshambulia Rais especially waliposema mkataba bado...utakapo sainiwa utazingatia maoni ya watu..
 
Hoja ni bandari,lkn wewe kwa chuki na ujinga wako,una hamisha magoli.kwa kweli hata ujinga nao ni karama.
 

Wewe unaongea kishabiki..
Loliondo hao waarabu waliletwa na Samia?kama walikuwepo kimakosa kwanini Magufuli hakuwafukuza?
Kwanini Mkapa hakuwafukuza?
Mnachotwa kirahisi Sana na watu bila kujiuliza maswali mepesi kabisa...
Waarabu wa loliondo wapo toka mwaka 1992...mnasubiri Rais muislam aje mseme anawapendelea "waarabu '?..

La Bandari si Majaliwa kasema juzi watakaposaini watazingatia maoni?
Wewe bado unazungumza kama "wameshasaini"??..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…