Ugaidi Arusha: Shekhe Lema ahakumiwa kifo na Mahakama ya kanda Arusha

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Sheikh Lema ahukumiwa kunyongwa☝️
Ajumuishwa na Mashekh wengine watano

Ameandika...Bakari Mwakangwale

SHEIKH Jafari Lema ambaye alikuwa Imam wa Masjid Quba Jijini Arusha, na wenzake watano, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama ya Rufaa Arusha.

Mahakama imetoa hukumu hiyo Jumatatu ya Julai 27, 2026, baada ya kutupa rufaa yao waliyokata Januari 2024 baad ya kuhumumiwa hapo awali kwa kosa la ugaidi

Hukumu hiyo wamesomewa (online) wakiwa mahabusu katika gereza la Kisonge Jijini Arusha, mbali na Sheikh Lema, wengine ni Sheikh Abashari Hassan, Sheikh Yusuph Ally, Sheikh Ramadhan Hamadi, Sheikh Abdulhasan Juma pamoja na Sheikh Kassim Idrisa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shura ya Maimamu, Msheikh hao walikamatwa na kukaa gerezani kwa miaka tisa kwa kosa la kulipua mabomu katika makanisa mkoani Arusha mwaka 2013

Ambapo Desemba 9, 2023, Masheikh hao walihukumiwa kunyongwa mpaka kufa.
Baada ya hukumu hiyo, Shura ya Maimamu Tanzania, kwa kushirikiana na familia za Masheikh hao, Januari 2024, walikata rufaa, katika Mahakama ya Rufaa Kanda ya Arusha.

“Hata hivyo Julai 27, 2026, Mahakama hiyo ya Rufaa Kanda ya Arusha, imetupa rufaa hiyo na kukazia hukumu ya kunyongwa mpaka kufa.

“Masheikh hao wanaungana na Masheikh wengine 14, walio hukumiwa kunyongwa, ambao wapo katika magereza ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara. Imesema taarifa hiyo.

Masheikh hao sita mwaka 2014, walikamatwa na kupewa kesi ya kulipua mabomu katika mkutano wa Kanisa Arusha

Copied & Pasted from Gazeti An-
FB_IMG_1785672527611.jpg
Nuur

#SufianMzimbiri
 
TANZLII
IN THE COURT OF APPEAL OF TANZANIA
AT ARUSHA
(CORAM: MWANDAMBO, J.A.. MWAMPASHL J.A. AND MLACHA, J.A.l
CRIMINAL APPEAL NO. 93 OF 2024

1. ABASHARI HASSAN OMARY ............................1st APPELLANT
2. YUSUPH ALLY HUTTA ...............................2nd APPELLANT
3. RAMADHANI HAMAD WAZIRI ................................3rd APPELLANT
4. ABDUL HASSAN JUMA @ ABDUL MASTER ........................ 4th APPELLANT
5. KASSIM IDRISA RAMADHAN......................5th APPELLANT
6 . JAPHARI HASHIM LEMA ................................6th APPELLANT

VERSUS

THE REPUBLIC................... RESPONDENT

(Appeal from the judgment and order of the High Court of
Tanzania at Arusha)
(NkwabLi)
dated the 12th day of December, 2023
in
Criminal Sessions Case No. 32 of 2023-
JUDGMENT OF THE COURT
19th February & 27th July, 2026
MWANDAMBO. J.A.:

This is an appeal against the judgment and orders of the High Court of Tanzania at Arusha in Criminal Sessions Case No. 32 of 2023, delivered on 12 December 2023. The appellants were among nine accused persons who stood trial and were subsequently convicted on various counts

Page 1

indicated that he received the co-accused at his residence and observed the ringleader displaying an explosive device prior to the incident. Finding the defence unpersuasive, the court determined that the premises were used as an operational base and convicted him on this count. Fourth, the court examined the evidence regarding the execution and results of the
attack. Based on testimony from priests, medical records, post-mortem reports, and Police Injury Forms (PF3 forms), the court determined that an explosion occurred inside the church premises, resulting in three deaths
and injuries to over fifty individuals. The court also addressed three procedural objections raised by the defence: discrepancies regarding exact
times and locations, were attributed to the ten-year lapse between the event and the trial; the decision to withhold the identities of confidential
informants, was held to be lawful for national security purposes; and
administrative omissions in documentation were determined to be insufficient to invalidate the underlying evidence. Ultimately, the High Court found the appellants guilty and sentenced them to the mandatory death sentence by hanging for the capital offence of murder. Dissatisfied,the appellants have preferred this appeal

Page 4

In the final analysis, this appeal succeeds only in part as it relates to

Page 16

the convictions on the counts of conspiracy to commit terrorist acts. The specific convictions are hereby quashed. In all other respects, the appeal is dismissed. The convictions and sentence imposed by the High Court for
Page 17

1785675597191.jpeg

READ THE FULL JUDGEMENT :
Source : https://tanzlii.org/en/akn/tz/judgment/tzca/2026/820/eng@2026-07-27
 
Sheikh Lema ahukumiwa kunyongwa☝️
Ajumuishwa na Mashekh wengine watano

Ameandika...Bakari Mwakangwale

SHEIKH Jafari Lema ambaye alikuwa Imam wa Masjid Quba Jijini Arusha, na wenzake watano, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama ya Rufaa Arusha.

Mahakama imetoa hukumu hiyo Jumatatu ya Julai 27, 2026, baada ya kutupa rufaa yao waliyokata Januari 2024 baad ya kuhumumiwa hapo awali kwa kosa la ugaidi

Hukumu hiyo wamesomewa (online) wakiwa mahabusu katika gereza la Kisonge Jijini Arusha, mbali na Sheikh Lema, wengine ni Sheikh Abashari Hassan, Sheikh Yusuph Ally, Sheikh Ramadhan Hamadi, Sheikh Abdulhasan Juma pamoja na Sheikh Kassim Idrisa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shura ya Maimamu, Msheikh hao walikamatwa na kukaa gerezani kwa miaka tisa kwa kosa la kulipua mabomu katika makanisa mkoani Arusha mwaka 2013

Ambapo Desemba 9, 2023, Masheikh hao walihukumiwa kunyongwa mpaka kufa.
Baada ya hukumu hiyo, Shura ya Maimamu Tanzania, kwa kushirikiana na familia za Masheikh hao, Januari 2024, walikata rufaa, katika Mahakama ya Rufaa Kanda ya Arusha.

“Hata hivyo Julai 27, 2026, Mahakama hiyo ya Rufaa Kanda ya Arusha, imetupa rufaa hiyo na kukazia hukumu ya kunyongwa mpaka kufa.

“Masheikh hao wanaungana na Masheikh wengine 14, walio hukumiwa kunyongwa, ambao wapo katika magereza ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara. Imesema taarifa hiyo.

Masheikh hao sita mwaka 2014, walikamatwa na kupewa kesi ya kulipua mabomu katika mkutano wa Kanisa Arusha

Copied & Pasted from Gazeti An-View attachment 3641897Nuur

#SufianMzimbiri

Abashari Hassan Omary & Others vs Republic (Criminal Appeal No. 93 of 2024) [2026] TZCA 820 (27 July 2026)​

CitationAbashari Hassan Omary & Others vs Republic (Criminal Appeal No. 93 of 2024) [2026] TZCA 820 (27 July 2026)

KATIKA MAHAKAMA YA RUFAA YA TANZANIA
ARUSHA
(CORAM: MWANDAMBO, J.A.. MWAMPASHL J.A. AND MLACHA, J.A.l
RUFAA YA JINAI NAMBA 93 YA 2024

1. ABASHARI HASSAN OMARY ................................ 1st MRUFAA
2. YUSUPH ALLY HUTTA ................... MRUFANIKIWA WA 2
3. RAMADHANI HAMAD WAZIRI ..........................MRUFANI WA 3
4. ABDUL HASSAN JUMA @ ABDUL MASTER ........................ MRUFANI WA 4
5. KASSIM IDRISA RAMADHAN...................... MRUFAA WA 5
6 . JAPHARI HASHIM LEMA ..........................MRUFANI WA 6

DHIDI YA

JAMHURI......................................MHOJIWA

(Rufaa kutokana na hukumu na amri ya Mahakama Kuu ya
Tanzania huko Arusha)
(NkwabLi) tarehe 12 Desemba, 2023 katika Kesi ya Vikao vya Jinai Nambari 32 ya 2023-
HUKUMU YA MAHAKAMA
Tarehe 19 Februari na 27 Julai, 2026

MWANDAMBO. J.A.:
Hii ni rufaa dhidi ya hukumu na amri za Mahakama Kuu
ya Tanzania huko Arusha katika Kesi ya Jinai Nambari 32 ya 2023, iliyotolewa mnamo tarehe 12 Desemba 2023. Warufani walikuwa miongoni mwa washtakiwa tisa
 
Sheikh Lema ahukumiwa kunyongwa☝️
Ajumuishwa na Mashekh wengine watano

Ameandika...Bakari Mwakangwale

SHEIKH Jafari Lema ambaye alikuwa Imam wa Masjid Quba Jijini Arusha, na wenzake watano, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama ya Rufaa Arusha.

Mahakama imetoa hukumu hiyo Jumatatu ya Julai 27, 2026, baada ya kutupa rufaa yao waliyokata Januari 2024 baad ya kuhumumiwa hapo awali kwa kosa la ugaidi

Hukumu hiyo wamesomewa (online) wakiwa mahabusu katika gereza la Kisonge Jijini Arusha, mbali na Sheikh Lema, wengine ni Sheikh Abashari Hassan, Sheikh Yusuph Ally, Sheikh Ramadhan Hamadi, Sheikh Abdulhasan Juma pamoja na Sheikh Kassim Idrisa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shura ya Maimamu, Msheikh hao walikamatwa na kukaa gerezani kwa miaka tisa kwa kosa la kulipua mabomu katika makanisa mkoani Arusha mwaka 2013

Ambapo Desemba 9, 2023, Masheikh hao walihukumiwa kunyongwa mpaka kufa.
Baada ya hukumu hiyo, Shura ya Maimamu Tanzania, kwa kushirikiana na familia za Masheikh hao, Januari 2024, walikata rufaa, katika Mahakama ya Rufaa Kanda ya Arusha.

“Hata hivyo Julai 27, 2026, Mahakama hiyo ya Rufaa Kanda ya Arusha, imetupa rufaa hiyo na kukazia hukumu ya kunyongwa mpaka kufa.

“Masheikh hao wanaungana na Masheikh wengine 14, walio hukumiwa kunyongwa, ambao wapo katika magereza ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara. Imesema taarifa hiyo.

Masheikh hao sita mwaka 2014, walikamatwa na kupewa kesi ya kulipua mabomu katika mkutano wa Kanisa Arusha

Copied & Pasted from Gazeti An-View attachment 3641897Nuur

#SufianMzimbiri
Kwa Nini Madeleka hakusimamia hiyo kesi ili asababishe wasipatikane na kosa.Maana Jana nilimsikia kwenye meza ya duara ya DW Swahili akisema aliwatoa masheik 9 huko huko Arusha.
Alisema aliithibitishia Mahakama kuwa tuhuma zao hazikuwa Ugaidi.
 
Nahisi walimkera sana Jk kipindi icho.

Sasa maneno aliyoyaelekeza AKIWA kama Amiri Jeshi mkuu Bado yamenyooka hadi leo
 
Ila walifanya ujinga. Ngoja walipie ujinga wao.
 
******(kwa kuwa ni muislam ndiyo maana kawaachia huru)**********
========
Sheria msumeno!,
HAKI KWA WOTE...
USAWA KWA WOTE.....
 
Sheikh Lema ahukumiwa kunyongwa☝️
Ajumuishwa na Mashekh wengine watano

Ameandika...Bakari Mwakangwale

SHEIKH Jafari Lema ambaye alikuwa Imam wa Masjid Quba Jijini Arusha, na wenzake watano, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama ya Rufaa Arusha.

Mahakama imetoa hukumu hiyo Jumatatu ya Julai 27, 2026, baada ya kutupa rufaa yao waliyokata Januari 2024 baad ya kuhumumiwa hapo awali kwa kosa la ugaidi

Hukumu hiyo wamesomewa (online) wakiwa mahabusu katika gereza la Kisonge Jijini Arusha, mbali na Sheikh Lema, wengine ni Sheikh Abashari Hassan, Sheikh Yusuph Ally, Sheikh Ramadhan Hamadi, Sheikh Abdulhasan Juma pamoja na Sheikh Kassim Idrisa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shura ya Maimamu, Msheikh hao walikamatwa na kukaa gerezani kwa miaka tisa kwa kosa la kulipua mabomu katika makanisa mkoani Arusha mwaka 2013

Ambapo Desemba 9, 2023, Masheikh hao walihukumiwa kunyongwa mpaka kufa.
Baada ya hukumu hiyo, Shura ya Maimamu Tanzania, kwa kushirikiana na familia za Masheikh hao, Januari 2024, walikata rufaa, katika Mahakama ya Rufaa Kanda ya Arusha.

“Hata hivyo Julai 27, 2026, Mahakama hiyo ya Rufaa Kanda ya Arusha, imetupa rufaa hiyo na kukazia hukumu ya kunyongwa mpaka kufa.

“Masheikh hao wanaungana na Masheikh wengine 14, walio hukumiwa kunyongwa, ambao wapo katika magereza ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara. Imesema taarifa hiyo.

Masheikh hao sita mwaka 2014, walikamatwa na kupewa kesi ya kulipua mabomu katika mkutano wa Kanisa Arusha

Copied & Pasted from Gazeti An-View attachment 3641897Nuur

#SufianMzimbiri
Kesi za ugaidi Tanzania ni mahususi kwa masheikh na si kwa wanasiasa, anyway sisi BAKWATA ngoja tupige kimya,
 
Wamepata walichostahili.
 
Back
Top Bottom