Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

Sasa unataka wote twende kwenye jiwe la msingi? Au wote tuongelee habari za jiwe la msingi ama?
Jiwe la msingi hata lisipoongelewa litawekwa tu, kuwekwa kwake hakuhusiani kama tumeiongelea ama la, ILA hizi mambo za kutekwa tekwa zinatugusa moja kwa moja kwa sasa kuliko hilo jiwe la msingi.
 
Post yangu na 44 ambayo umecoment hapo juu nimewataja kina Koni na IRA, je hao ni waislamu? Inaonekana una inferiority complex na dini yako... kwa hilo nikupe pole dada...
 
A strong tiss will ensure there is no terrorism except when and where they are the terrorists themselves. Hivi kama utawala unadulterated katiba (pamoja na mapungufu ya hiyo katiba) kuna umuhimu na u lazima wa ku terrorise walipakodi? Kweli?


Swali zuri sana.

Kuna kila sababu kuwa haiwezekani serikali ikafanya vitisho vya namna tunavyoshuudia kwa kupenda au kutaka bali kuna kila uwezekano kuwa kuna watu wanaweza ku twist ionekane hivyo kwa faida yao.

Ni mambo ya kufikiria kwa kina.

Kuna wakati nilisoma kuwa Lowassa aliajiri katika kambi yake mkuu mmoja wa intelijensia mstaafu. Tufikiri.

Historia ya Lowassa inatuonesha si mtu wa kushindwa.
 
Unga robo na utumbo nusu kilo mtu SABA inakula tayari wewe unadai hapo kwa mjomba wako hakuna njaa.
Shangazi eh hapa kwa Mjomba hakuna njaa,kama unabisha shangazi yangu siku njoo ujionee mwenyewe hapa kwa Mjomba kama kuna njaa..we njoo tu uje kuishi na Mjomba wangu hakika atakulisha tu vizuri.
 
Unaweka jiwe la msingi la ujenzi MPYA wa reli ya kisasa wakati raia wako wanakufa njaa kwa kupanda kwa gharama za maisha.
Huu kwangu ni upuuzi tu.
" Maendeleo halisi ni maendeleo ya watu wala si maendeleo ya vitu " by nyerere
 
Hamna magaidi hapo acha kudanganya watu.....ni kazi ya muda mrefu ya ccm kukandmiza watu ila sasa wanaumbuka taratibu baada ya kuanza kushughulikia hata waliomo ndani yake ambao wanaonekana kufuatilia wakubwa au kutokubaliana na wakubwa......
Km kuna ugaidi wewe bnafsi usingeacha kwenda kujilipua maana unaruhusiw kwa mujibu wa........yako!!!!
 
Jana kumefanyika kikao cha wanauchumi na kutoa taarifa mbalimbali za muelekeo wa kiuchumi wetu kuwa ni mzuri. Pia BOT kuongeza ujazo wa fedha. Kwa wapenda hofu hizo kwao sio habari. Hotuba ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu kesho mwisho lakinii wabunge waliopewa nafasi wao ni utekeji ndio waliouona katika hotuba hiyo
 

kinachoongelewa kwenye platforms mbalimbali ni aftermath tu. na katika hali ya kawaida matukio kama yale hayawezi kutokea watu wakanyamaza. isipokuwa tu kama wanachokiongelea ni mambo ya kufikirika.
 
Kama hukifafanui hicho kitu "moles" hamna haja ya kukiandika.


Mh! Kama kweli vile!😵
Asante mwalimu kwa kuja na fikra tofauti (great holistic approach)🙂
 
Unaweka jiwe la msingi la ujenzi MPYA wa reli ya kisasa wakati raia wako wanakufa njaa kwa kupanda kwa gharama za maisha.
Huu kwangu ni upuuzi tu.
" Maendeleo halisi ni maendeleo ya watu wala si maendeleo ya vitu " by nyerere


Reli ni ni mojawapo ya njia kuzuwia njaa kwa muda mrefu. Ni uwekezaji utaloliingizia taifa pesa. Kumbuka hilo.
 
=majangili

Ujangili na ugaidi ni vitu viwili tofauti kama ardhi na mbingu.


Kuna uwezekano mkubwa pia mahasimu wa CCM wakatumia njia za kigaidi ili kuipakazia CCM within and without.
Leta ushahidi dada maana hiz za mahasimu kutumia njia za kigaidi kumteka Ben saa 8 ni ujinga tu..... lakini ushahidi wa wa upande wa pili upo kuwa gari la state house lilikuwepo wakat nape anatolewa bastola na wakat DAB anavamia clouds. .. suala la ujangiRI nimeandika in Manges note.... of coz alikuwa anatania maana hakuna asiye jua tofaut hizo ila mwisho wa siku msg ilifika na kuchoma kunako takiwa....
 
Kutokupatikana taarifa sahihi za watekaji ndio sababu za kutokuchukuliwa kwa hatua uzitakazo. Aliyetekwa na kuwaona watekaji hamtaji mtu wewe uliyekuwa nyumbani na mwenza wako mkila raha ndio unataja watekaji. Basi uwe na sifa ya kusema kweli lakini nimuongo wa kukinai.
Haya jana umeambiwa ndani ya bunge ambapo mtu anakinga anasema hii ni taarifa isiyo rasmi kuwa Ben kapotezwa na tiss. Bado ukafanyie kazi taarifa isiyo rasmi nani atakuelewa.
 
yani wewe FaizaFoxy huwa najua kweli hamnazo ila kwa huu utumbo uliouandika hapa umejivua nguo unatia aibu!


Ni vyema kabisa kuwa umeusoma huu utumbo na ukapata wasaa wa kuujibu, kuja kunisaidia kuvuana nguo, nnauhakika hautokaa muda mrefu utarudi tena kuuchungulia au kuchangia mjadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…