Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ramadhan Igwondu alichukuliwa hatua gani kwa kumteka na kumtesa Dr. Uli?Kutokupatikana taarifa sahihi za watekaji ndio sababu za kutokuchukuliwa kwa hatua uzitakazo. Aliyetekwa na kuwaona watekaji hamtaji mtu wewe uliyekuwa nyumbani na mwenza wako mkila raha ndio unataja watekaji. Basi uwe na sifa ya kusema kweli lakini nimuongo wa kukinai.
Haya jana umeambiwa ndani ya bunge ambapo mtu anakinga anasema hii ni taarifa isiyo rasmi kuwa Ben kapotezwa na tiss. Bado ukafanyie kazi taarifa isiyo rasmi nani atakuelewa.
Haya bwana yangu macho lkn nakwambia tutakua na hii reli lkn umaskini kwa mtanzania utaongezeka maradufu kwa sababu hakuna mipango halisi ya kuuondoa.Reli ni ni mojawapo ya njia kuzuwia njaa kwa muda mrefu. Ni uwekezaji utaloliingizia taifa pesa. Kumbuka hilo.
Muache Lowasa nje ya hili dada FF... kweli unaona EL anaweza husika zaidu ya DAB? Unajilisha upepo tu...... na unapo sema serikali unamaanisha nini? Is DAB not part of the Govnt?Swali zuri sana.
Kuna kila sababu kuwa haiwezekani serikali ikafanya vitisho vya namna tunavyoshuudia kwa kupenda au kutaka bali kuna kila uwezekano kuwa kuna watu wanaweza ku twist ionekane hivyo kwa faida yao.
Ni mambo ya kufikiria kwa kina.
Kuna wakati nilisoma kuwa Lowassa aliajiri katika kambi yake mkuu mmoja wa intelijensia mstaafu. Tufikiri.
Historia ya Lowassa inatuonesha si mtu wa kushindwa.
ninarudi kukuchungulia na kukusikitikia rafiki yangu, hama huko usijekutekwa tukose shombo zako hapa jukwaani!Ni vyema kabisa kuwa umeusoma huu utumbo na ukapata wasaa wa kuujibu, kuja kunisaidia kuvuana nguo, nnauhakika hautokaa muda mrefu utarudi tena kuuchungulia au kuchangia mjadala.
Unawajua,Ukinisoma mpaka mwisho utaona nimesema "sijuwi".
Tujadili.
Faiza; wakati natafakari ushauri wako huo, niliyakumbuka maneno hayo hapo chini....
Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.
...
Come on wake up FaizaFoxy, hii inaitwa state sponsored terrorism...jamaa baada ya kushindwa kuiendesha nchi, kaamua kuvitumia vyombo vya dola kuzima upinzani. Baadhi ya watu kupewa madaraka yanayozidi uwezo wao, matokeo ndiyo haya tunayashuhudia. Kama hatutachukua hatua tutalia sana.Kuna kitu kinaitwa moles kwenye intelijensia.
Unataka kuanza kupakazia...Swali zuri sana.
Kuna kila sababu kuwa haiwezekani serikali ikafanya vitisho vya namna tunavyoshuudia kwa kupenda au kutaka bali kuna kila uwezekano kuwa kuna watu wanaweza ku twist ionekane hivyo kwa faida yao.
Ni mambo ya kufikiria kwa kina.
Kuna wakati nilisoma kuwa Lowassa aliajiri katika kambi yake mkuu mmoja wa intelijensia mstaafu. Tufikiri.
Historia ya Lowassa inatuonesha si mtu wa kushindwa.
viashiria vyote vipo wazi mbegu imeshaoteshwa na ile kamati ya chama chao huko dodoma inasubiriwa kuota tu!!!!Na Kuna tetesi kwamba mwaka 2020 hakuna uchaguzi mkuu!!
Kwa maoni yangu kukaa kimya ni kukubali/kuhalalisha vitendo vya kigaidi, hii inaweza sababisha watu wengi kupotea/potezwa.Kukaa kimya kunaweza kuwa ni silaha kubwa kuliko unavyofikiria.
Vikundi vya kihuni!Hiv walio ua na kudhulu mapadri zenj ni kina nani? Hiv walio waumiza wale mabinti wa kizungu zenj ni kina nani? Kule Rufiji, Amboni na Kilindi je Tuwaiteje mkuu?
Baba kumsomesha mwanae pamoja na kumuhumudumia kila kitu mtoto na mama yake sio habari, baba kuacha kufanya hayo hiyo ndio habari. Huwezi kusifiwa kwa kufanya majukumu yako, utalaumiwa utakapo acha kutekeleza majukumu yako. Umeelewa?habari za ugaidi ndio zinapendwa sana na CHADEMA na ndio wamejaa huku kwenye mitandao wanazisambaza kwa kasi sana....leo Magufuli anaweka jiwe la msingi ujenzi wa reli hakuna anaejali....CHADEMA wako busy na habari za watu kutekwa! CHADEMA ni janga la Taifa
Ni kama popobawa, "akikupitia usipotangaza anarudi tena na tena mpaka utangaze kuwa umeshughulikiwa na popobawa"Lengo ni kupigana na ugaidi kwa kudhoofisha matakwa yao.