Uongo huu kwani nani kaja hapa kulinda dunia?? Hizi tafiti za kupatia pesa siyo CONSTRUCTIVE no DESTRUCTIVESasa tutakula hewa.....unga wa dona hatari,soda hatari,Nyama ya ng'ombe hatari,Ya mbuzi et magoti yanapata hitirafu, bia hatari, kuku wa kisasa hawa hatari, mayai yao hatari,wali,viazi, ndizi etc...vina wanga sana navyo hatari,mafuta ya kupikia ya wanyama hatari.....kila kitu hatari....aiseee...
Sasa tutakula hewa.....unga wa dona hatari,soda hatari,Nyama ya ng'ombe hatari,Ya mbuzi et magoti yanapata hitirafu, bia hatari, kuku wa kisasa hawa hatari, mayai yao hatari,wali,viazi, ndizi etc...vina wanga sana navyo hatari,mafuta ya kupikia ya wanyama hatari.....kila kitu hatari....aiseee...
Siyo, afflatoxin tuu, wakulima wanatumia sumu kuvu kutunza mahindi yao, na mara nyingi watengenezaji unga wanasaga juu kwa juuWatu wengi kwa sasa wamependelea kula ugali uliopikwa kwa unga wa mahindi usiokobilewa, maarufu 'dona'. Pamoja na kwamba mahindi uhifadhiwa kwa madawa ili yasiharibike (athari kwa fedha) kuna tatizo lingine kwa afya zetu yasemekana.
Tahadhali na unga wa dona, ni hatari kwa afya kwa sababu ya sumu inayoitwa 'aflatoxin" ambayo huwa ndani ya kiini cha mbegu ya mhindi. Ukikobolewa kiini uondolewa na kubaki unga mweupe (sembe).
Wengi sasa hawependi kula ugali wa sembe kwa sababu ya kukosa protini (iliyomo kwenye kiini). Lakini hasara ya kukosa hiyo protein ni ndogo sana kulinganisha na madhara ya "aflatoxin" itakayosababisha "cancer" mwilini mwa binadamu.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Cha ajabu wazungu wanakula vyakula hivyo hivyo na bado wanatupita kwa life expectancySasa tutakula hewa.....unga wa dona hatari,soda hatari,Nyama ya ng'ombe hatari,Ya mbuzi et magoti yanapata hitirafu, bia hatari, kuku wa kisasa hawa hatari, mayai yao hatari,wali,viazi, ndizi etc...vina wanga sana navyo hatari,mafuta ya kupikia ya wanyama hatari.....kila kitu hatari....aiseee...
Ndo shangaaa..sasa......wakati mwingine nahisi ni uongo tu.....kifo kipo tuCha ajabu wazungu wanakula vyakula hivyo hivyo na bado wanatupita kwa life expectancy
Naona akili yako haiwezi kukaa sawa mpaka uitaje papuchi kwenye mfano wakoPapuchi yenyew ina sumu na bado watu wanazama ndani we kula unachoona kwako sawa ukienda usukumani huko ndani simiyu Wasukuma wanakula dona enzi na enzi hadi wamezeeka hiyo sumu haijawahi wadhuru
Watu wengi kwa sasa wamependelea kula ugali uliopikwa kwa unga wa mahindi usiokobilewa, maarufu 'dona'. Pamoja na kwamba mahindi uhifadhiwa kwa madawa ili yasiharibike (athari kwa fedha) kuna tatizo lingine kwa afya zetu yasemekana.
Tahadhali na unga wa dona, ni hatari kwa afya kwa sababu ya sumu inayoitwa 'aflatoxin" ambayo huwa ndani ya kiini cha mbegu ya mhindi. Ukikobolewa kiini uondolewa na kubaki unga mweupe (sembe).
Wengi sasa hawependi kula ugali wa sembe kwa sababu ya kukosa protini (iliyomo kwenye kiini). Lakini hasara ya kukosa hiyo protein ni ndogo sana kulinganisha na madhara ya "aflatoxin" itakayosababisha "cancer" mwilini mwa binadamu.
TAFAKARI CHUKUA HATUA