Tareeq
JF-Expert Member
- May 3, 2010
- 828
- 408
Uongo huu kwani nani kaja hapa kulinda dunia?? Hizi tafiti za kupatia pesa siyo CONSTRUCTIVE no DESTRUCTIVESasa tutakula hewa.....unga wa dona hatari,soda hatari,Nyama ya ng'ombe hatari,Ya mbuzi et magoti yanapata hitirafu, bia hatari, kuku wa kisasa hawa hatari, mayai yao hatari,wali,viazi, ndizi etc...vina wanga sana navyo hatari,mafuta ya kupikia ya wanyama hatari.....kila kitu hatari....aiseee...