Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Nilivyosikia ni kwamba unazalisha sumu tumboni ila sijui hiyo sumu inasababisha nini.Unahatari gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilivyosikia ni kwamba unazalisha sumu tumboni ila sijui hiyo sumu inasababisha nini.Unahatari gani?
Mkuu unamaswal mazur ila ushaur wangu kwako ni huu, kama upo karb na dr au unamfaham daktari yeyote muulize kati ya sembe na dona ni ipi bora kwa matumizi ya binadam?Kansa kivipi....kupungua kinga kivipi....kutokua na uwezo wa kujamiiana kivipi...then ni vipi dona uwe salama alaf sembe isiwe salama ilihali mahindi ni yale yale...?do you have any facts coz watu hapa wanaelezea ni vipi dona unaweza isiwe salama...na wewe tueleze ni vipi sembe unaweza sababisha hayo matatizo
Unga wa sembe unapungukiwa tu protini baada ya kiini (kinachokaribisha fungus hindi linapovunda/oza) kukobolewa. Protini hiyo utaipata kwenye vyakula vingine kama vile kitoweo kwa ugali wako wa sembe.Mkuu unamaswal mazur ila ushaur wangu kwako ni huu, kama upo karb na dr au unamfaham daktari yeyote muulize kati ya sembe na dona ni ipi bora kwa matumizi ya binadam?
May b kwa msaada, ukishukua unga uliokobolewa wawekee kuku, au panya hawali kabisa, ila ukichukua pumba za mhindi wankula achilia mbali unga wake..
Mwili wa binadam umeumbwa kupata lishe bora ya asili, kumbuka m si Dr, ila mtafute yeyote utapata uthibitisho..
Bandugu.....Unachongea ni sawa ....in term of nutrition composition unga wa dona unavirutubisho vingi zaidi lakini siyo kila dona ni salama kwa afya yako...na hyo ndo essence ya huu uziMkuu unamaswal mazur ila ushaur wangu kwako ni huu, kama upo karb na dr au unamfaham daktari yeyote muulize kati ya sembe na dona ni ipi bora kwa matumizi ya binadam?
May b kwa msaada, ukishukua unga uliokobolewa wawekee kuku, au panya hawali kabisa, ila ukichukua pumba za mhindi wankula achilia mbali unga wake..
Mwili wa binadam umeumbwa kupata lishe bora ya asili, kumbuka m si Dr, ila mtafute yeyote utapata uthibitisho..
Mkuu tazama hapo hilo ni swali nimeuliza pia mkuuDuh, mkuu nani alikwambia sumu inapunguzwa na joto?

Rudia tena kumsoma jamaa utamuelewa mimi nimeelewa alichomaanishaSasa mbona hauhaelezea vzuri?.
Inamaanisha mahindi yote ya dona yana hiyo sumu ya aflatoxin? Na pia hii ishu ya sumu kwenye kiini imegunduliwa recently au toka zamani ipo.?
Kama toka zamani basi pita hivi.
Dadavua.
Marehemu utawajua tuMtoa mada una duka la sembe wewe sio bure.
Jipange tena sio kutudanganya kiivyo.
Acha uzembe wa kudadavua mambo, elewa source ya hiyo toxicity (aflatoxin) mjadala utakwisha. Wikipedia ni source tu, tafuta hata vitabu usome (Jipu wewe). Hao fungus aina ya Aspergillus wanakua maeneo mbalimbali pamoja na vyakula ambavyo vimeorodheshwa hapo vikiwa havikuhifadhiwa vizuri (siyo mahindi pekee). Pia katika udongo, na mimea. Kama chakula kikiwa na hao fungus ndiyo husababisha hiyo food poisoning (aflatoxin). Elewa kwanza nilichokiandika siyo unarukia gari kwa mbele (Kigwangala aje kukushitukiza wewe jikoni kwako). Au rudi shule ukasome kitu kinaitwa microbiology na toxicology.kwa hyo wewe reference yako kubwa ni Wikipedia...sons vizuri michngo ya watu na kunareference nzuri zimetolewa...changanya na Wikipedia yako...usipoelewa basi wewe utakua ni jipu....itabidi Kigwangala aje akufanyie ziara ya kushitukiza
Mzee ni hyo comment yangu ndo imekutoa povu lote hilo au umekunywa chai na sabuni asubuhi hii...Acha uzembe wa kudadavua mambo, elewa source ya hiyo toxicity (aflatoxin) mjadala utakwisha. Wikipedia ni source tu, tafuta hata vitabu usome (Jipu wewe). Hao fungus aina ya Aspergillus wanakua maeneo mbalimbali pamoja na vyakula ambavyo vimeorodheshwa hapo vikiwa havikuhifadhiwa vizuri (siyo mahindi pekee). Pia katika udongo, na mimea. Kama chakula kikiwa na hao fungus ndiyo husababisha hiyo food poisoning (aflatoxin). Elewa kwanza nilichokiandika siyo unarukia gari kwa mbele (Kigwangala aje kukushitukiza wewe jikoni kwako). Au rudi shule ukasome kitu kinaitwa microbiology na toxicology.