Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Shirik
Kwani ATC ni mali ya Chama?
Inaongozwa na LissuUganda Airlines destinations>>>London, Dubai, Johannesburg, Dar, Nairobi, Bujumbura, Juba, Mogadishu, Abuja, Harare, Kilimanjaro, Kinshasa, Lusaka, Mombasa, Mumbai, Zanzibar na Lagos**
View: https://m.youtube.com/watch?v=ewuU3-U0cq0&pp=ygUPdWdhbmRhIGFpcmxpbmVz
1. Hivi Marketing Department ya Air Tanzania inaongozwa na Nani?
2. Hizi kazi wanapeanaje? Siasa Siasa Siasa. Hivi Sisi NI wa kushindwa na Uganda kweli?
Wasomi uchwara wapo wengi!Uganda Airlines destinations>>>London, Dubai, Johannesburg, Dar, Nairobi, Bujumbura, Juba, Mogadishu, Abuja, Harare, Kilimanjaro, Kinshasa, Lusaka, Mombasa, Mumbai, Zanzibar na Lagos**
View: https://m.youtube.com/watch?v=ewuU3-U0cq0&pp=ygUPdWdhbmRhIGFpcmxpbmVz
1. Hivi Marketing Department ya Air Tanzania inaongozwa na Nani?
2. Hizi kazi wanapeanaje? Siasa Siasa Siasa. Hivi Sisi NI wa kushindwa na Uganda kweli?
Hata Rwandair naiona kila leo Heathrow Airport
Sisi tunabet nani atashinda
Ulaya wamepigwa pini kwa ishu za compliance/safetyATC wana mpango wa kuanza route ya Dar <> London, kuna siku kadhaa nyuma nilisikia hiyo maneno...
Mbona itakuwa poa sana aiseeATC wana mpango wa kuanza route ya Dar <> London, kuna siku kadhaa nyuma nilisikia hiyo maneno...
Kenya airways wameongeza Route za NBO-LHR punde wameongeza NBO-Gatwick (London).Uganda Airlines destinations>>>London, Dubai, Johannesburg, Dar, Nairobi, Bujumbura, Juba, Mogadishu, Abuja, Harare, Kilimanjaro, Kinshasa, Lusaka, Mombasa, Mumbai, Zanzibar na Lagos**
View: https://m.youtube.com/watch?v=ewuU3-U0cq0&pp=ygUPdWdhbmRhIGFpcmxpbmVz
1. Hivi Marketing Department ya Air Tanzania inaongozwa na Nani?
2. Hizi kazi wanapeanaje? Siasa Siasa Siasa. Hivi Sisi NI wa kushindwa na Uganda kweli?
Wako busy na ichaguzi , hawako busy kuangalia shirika litaendaje. Wanawaza waturufije bungeniUganda Airlines destinations>>>London, Dubai, Johannesburg, Dar, Nairobi, Bujumbura, Juba, Mogadishu, Abuja, Harare, Kilimanjaro, Kinshasa, Lusaka, Mombasa, Mumbai, Zanzibar na Lagos**
View: https://m.youtube.com/watch?v=ewuU3-U0cq0&pp=ygUPdWdhbmRhIGFpcmxpbmVz
1. Hivi Marketing Department ya Air Tanzania inaongozwa na Nani?
2. Hizi kazi wanapeanaje? Siasa Siasa Siasa. Hivi Sisi NI wa kushindwa na Uganda kweli?
Ya kwetu anatanulia AbdulUganda Airlines destinations>>>London, Dubai, Johannesburg, Dar, Nairobi, Bujumbura, Juba, Mogadishu, Abuja, Harare, Kilimanjaro, Kinshasa, Lusaka, Mombasa, Mumbai, Zanzibar na Lagos**
View: https://m.youtube.com/watch?v=ewuU3-U0cq0&pp=ygUPdWdhbmRhIGFpcmxpbmVz
1. Hivi Marketing Department ya Air Tanzania inaongozwa na Nani?
2. Hizi kazi wanapeanaje? Siasa Siasa Siasa. Hivi Sisi NI wa kushindwa na Uganda kweli?
Asante
Ulaya wamepigwa pini kwa ishu za compliance/safety
ATC wamepigwa pini Ulaya hivi karibuniMbona walishapata kibali tangu 2019 cha kutua Gatwick?
SafiATC wamepigwa pini Ulaya hivi karibuni
LUBUMBUSHI ni wapi huko?