Uganda Airlines waanza Route London (Non-Stop) Vs Air Tanzania?

Uganda Airlines destinations>>>London, Dubai, Johannesburg, Dar, Nairobi, Bujumbura, Juba, Mogadishu, Abuja, Harare, Kilimanjaro, Kinshasa, Lusaka, Mombasa, Mumbai, Zanzibar, Entebbe na Lagos**

View: https://m.youtube.com/watch?v=ewuU3-U0cq0&pp=ygUPdWdhbmRhIGFpcmxpbmVz

1. Hivi Marketing Department ya Air Tanzania inaongozwa na Nani? (LUBUMBUSHI ndio wapi?)

2. Hizi kazi wanapeanaje? Siasa Siasa Siasa. Hivi Sisi NI wa kushindwa na Uganda kweli?

Kitu inatua London
 
Kitengo cha marketing ATCL wanakwama sana
 
Uganda Airlines destinations>>>London, Dubai, Johannesburg, Dar, Nairobi, Bujumbura, Juba, Mogadishu, Abuja, Harare, Kilimanjaro, Kinshasa, Lusaka, Mombasa, Mumbai, Zanzibar, Entebbe na Lagos**

View: https://m.youtube.com/watch?v=ewuU3-U0cq0&pp=ygUPdWdhbmRhIGFpcmxpbmVz

1. Hivi Marketing Department ya Air Tanzania inaongozwa na Nani? (LUBUMBUSHI ndio wapi?)

2. Hizi kazi wanapeanaje? Siasa Siasa Siasa. Hivi Sisi NI wa kushindwa na Uganda kweli?

Safari ya nje ya air Tanzania hapo ni mbili ya China na India tuu 😂
 
ATC wana mpango wa kuanza route ya Dar <> London, kuna siku kadhaa nyuma nilisikia hiyo maneno...
Wamepigwa stop kwemda Ulaya maana ndege zake hazijatimiza vigezo vya kuweza kupaa anga la ulaya.
 
Huyu tajiri jirani kaamua
Sisi za serikali zinatushinda
IMG_0373.jpeg
 
Chkula Cha airport ni ghali sana, we imagine ndazi Moja ni Tsh 1500/=.

Ni ngori!
Nilikula sambusa mbayaa tatu kwa 7500, hata sikumaliza.
Vibia pale juu 4500-5000 kamoja.
Mi huwa nazitwanga pale uswazi njia panda, nagonga na kitimoto safi na ugali ndio naelekea Check in niko fit sana.
Pale mswaki moja basi nikizama mule kwenye pipa whisky mara 2 then mbonji tu hadi waniamshe najua tumefika salama.
 
Kabisa mkuu 😀
 
Back
Top Bottom